TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Tuombeane uzima hata kama tuna itikadi tofauti. Siasa tujenge hoja jamani. Mungu tunaomba tuepushie vifo na mabalaa wakati huu wa uchaguzi.
 
makamba.jpg

Mimi sijamwelewa hapo Makamba. Ajali inapotokea kuna mambo matatu yanaweza kutokea nayo ni Kifo, majeruhi au Salimini(Uzima kabisa), sasa anaposema Majeruhi wasiwepo, anataka wawepo Waliosalimika na waliokufa?
Nadhani anapaswa kuwa smart anapoandika kwenye wall yake, la sivyo italeta tafsiri mbaya.
 
... sasa hicho ki makamba kilikuwa kina maana gani kuficha ukweli?
 
Namuombea usalama na afya njema Deo filikunjmbe. Mie nipo upinza, ila namkubali Deo. Mungu amuepushie majanga.
 
Nadhani hii kitu ni kama repetition fulani katika siku fulani huko nyuma. Nakumbuka kipindi fulani Chopa ilianguka na mbunge akatoka salama. Am I dreaming?
 
Taarifa za awal ni mzima!!!!,

Taarifa kamil je?

Mtangazaj alikua anatetemeka!!!! Kuna utata
 
Ngoja nitoke nje ya siasa kidogo...!!
Mungu amuepushe na umauti ilaaaa kama alimkejeli Rais Lowassa, aisee sisemi neno...!!!
 
Back
Top Bottom