TANZIA: Freeman Mbowe afiwa na kaka yake

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Taarifa zinazotufikia sasa hivi ni kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekiti wa Chadema Taifa amefiwa na kaka yake muda mfupi uliopita.

Taarifa kamili itafuata baada ya muda mfupi
 
IMG-20151214-WA0002.jpg
Taarifa zinazotufikia sasa hivi ni kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekiti wa Chadema Taifa amefiwa na kaka yake muda mfupi uliopita.

Taarifa kamili itafuata baada ya muda mfupi
kuna kaka ke mmoja hivi..... n way ngoja nisubiri
 
Taarifa zinazotufikia sasa hivi ni kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekiti wa Chadema Taifa amefiwa na kaka yake muda mfupi uliopita.

Taarifa kamili itafuata baada ya muda mfupi
Taja jina la marehemu unapoacha taarifa juu juu unaacha watu ktk maswali mengi yasio na msingi,binafsi naweza nikawa nafaham kaka yake,lakini kumbe ninaemuwaza sio,mwingine anaweza fikir ni yule chrlz kumbe sio,ni vema ukataja amefiwa na nani?
 
Taarifa zinazotufikia sasa hivi ni kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani na mwenyekiti wa Chadema Taifa amefiwa na kaka yake muda mfupi uliopita.

Taarifa kamili itafuata baada ya muda mfupi
Ni Yule wa Tegeta/wazo?
 
Pole sana Mr.Chairman, Tanzania iko nyuma yako kuomboleza msiba huu! Hebu farijianeni kwa maneno haya matakatifu!
-------------------------------------
-------------------------------------
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi naye hujaa taabu, yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa, hukimbia kama kivuli wala hakai kamwe! - AYUBU-14-1-2
 
Tupia na kapicha mkuu kwani baadhi hatukufahamu kama ana wadogo zake. Pole sana Mbowe na familia yote.
 
Hivi inakuwaje mtu unakuja jamvini na taarifa nusunusu?tena taarifa yenyewe ya msiba!si ungesubiri upate jina na taarifa zote muhimu?
 
Back
Top Bottom