Tanzia: Diwani wa kata ya Olasiti (CCM) Amefariki Dunia

Daudi Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
327
Reaction score
204
Diwani wa kata ya Olasiti Mh. Ismail Katamboy amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Mh Katamboy alikuwa ngonjwa kwa muda kidogo, ambapo mapema mwezi February alipelekwa Nairobi kwa matibabu, baada ya kupata nafuu akarudishwa nyumbani.

Hali yake iligeuka ghafla majuzi na kupelekwa katika hospitali ya seliani hapa Arusha, hadi umauti ulipomkuta.

Kwa muda mfupi niliyokutana naye kwenye vikao vya WDC huyu mzee alikuwa siyo mtu wa utani wala hakuwa na kona kona, ilifikia hata baadhi wa watumishi wa serikali walimchukia kwa tabia yake ya kutokukopesha au kukwepesha.

Hakuwa na tabia za magamba huyu mzee...

R.I.P. Mzee Katamboy
 
Poleni sana kwa kutuachia ukawa nafasi.

swissme
 
R.I.P Katamboy

Mungi hakikisha hiyo kata mafisi hawakatishi.
 
Diwani wa kata ya Olasiti Mh. Ismail Katamboy amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Mh Katamboy alikuwa ngonjwa kwa muda kidogo, ambapo mapema mwezi February alipelekwa Nairobi kwa matibabu, baada ya kupata nafuu akarudishwa nyumbani.

Hali yake iligeuka ghafla majuzi na kupelekwa katika hospitali ya seliani hapa Arusha, hadi umauti ulipomkuta.

Kwa muda mfupi niliyokutana naye kwenye vikao vya WDC huyu mzee alikuwa siyo mtu wa utani wala hakuwa na kona kona, ilifikia hata baadhi wa watumishi wa serikali walimchukia kwa tabia yake ya kutokukopesha au kukwepesha.

Hakuwa na tabia za magamba huyu mzee...

R.I.P. Mzee Katamboy

R.I.P. Diwani wetu...!
 
Msiba upo wapi? Tunaomba tujulishwe...
 
Poleni wafiwa,na tunaomba majimbo yote yaliyo wazi nec iyatangaze rasmi ili uchaguzi ufanyike haraka sana.
 
Poleni wote mliofikwa na msiba huu, tuko pamoja katika maombolezo, Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Poleni sana wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi
 
R.i.p diwani.ukawa hakikisheni hiyo kata haiyangukii kwa magamba tena.
 
Back
Top Bottom