TANZIA: Diwani kata ya Lwezera afariki Dunia

RIP Mheshimiwa Diwani....Poleni sana wanafamilia,,ndugu,,jamaa,,marafiki na Majirani ktk kipindi hiki kigumu mnachopitia mwenyezi mungu awajaze roho ya uvumilivu, ujasiri na Upendo...AMEN
 
toka uchaguzi wa 2010 kumetokea vifo vingi sana vya viongozi hasa madiwani tofauti na miaka ya nyuma. MAY YOUR SOUL REST IN PEACE DIWANI NA MUNGU AWAPE UVUMILIVU FAMILIA NA WAPIGAKURA WAKO.
 
Poleni sana wafiwa

Je ndiye huyu aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita? Ambaye aligundua
UFISADI mkubwa katika halmashauri ya Geita na alipotaka kuufuatilia wenzake
(madiwani wa CCM) m.an.g.am.ba wakamvua uenyekiti wa halmashauri?

Kama ndiye yeye alikuwa na element za u-CDM na Geita watakuwa wamepoteza diwani makini.

RIP Anatori Mkufu
 
Huyu siye mkuu...aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri anaitwa Bwn.Musukuma.
 
Je alitubu dhambi zake za kuwa katika kundi la wanachama wezi na wansotesa watz wenzao
 
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Lwezera,Tarafa ya Bugando,wilayani Geita kupitia CCM bwana Anatori Mkufu amefariki Dunia juzi kwa ajali ya gari jijini Mwanza eneo la Mabatini.

RIP Mheshimiwa...

Wandugu Poleni sana
Diwani Mkufu R.I.P

Poleni familia ya wafiwa pamoja na pole kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg Jakaya M. Kikwete, kwa kumpoteza huyu ndugu yetu. RIP Mheshimiwa Diwani wetu.
 
Back
Top Bottom