TANZIA: Diwani Elia Shukia wa Kata ya Mwanhuzi na Katibu wa Mbunge Meatu afariki kwa ajali ya gari

Magari ya serikali yanakimbia mnoooooo!! Inabidi Magu na huku akuangalie sana ama sivyo rambi rambi zitamkondesha!!
 
Madereva wengi wanaokuwa recruited kutoka vijijini wanakuwa n'a ushamba wa magari mapya ! Hapo chanzo ni mwendo kasi n'a kushindwa kumudu gari ! Mambo ya tochi hayawezi kuwazuia hawa wasiokuwa n'a ujuzi ! Hiyo gari ni product y'a hardtop hazina balance barabarani kabisa @140km/hr
Kwa taarifa yako, huyo dereva siyo kweli kwamba kaajiriwa kutokea kijijini kama unavyofikria, alikuwa dereva pia fundi wa magari! Kwa ufupi ni experienced driver, basi sema tu leo zilikuwa zimetimia!!
 
Experienced kwa magari mabovu na atakuwa hana technical skills za uendeshaji wa kutambua centre of gravity y'a gari unataka nini !!??
 
Back
Top Bottom