TANZIA: Diwani Elia Shukia wa Kata ya Mwanhuzi na Katibu wa Mbunge Meatu afariki kwa ajali ya gari

Hilo gari linaonekana limebiringita mara kadhaa limevunja na kingpin huenda marehemu alipanda bamsi mazima.
Ukifanya visual risk analysis, hapo maanayake dereva alikua kwenye mwendo mkubwa na ndipo chanzo cha ajali ilio pelekea gari kuruka juu, na kisha kubinuka mara kadhaa.
Lakini hapo issue sio USHAMBA na LAND CRUISER kwamba hazina balance kama ulivyo tangulia kusema.....
 
Gari lilikuwa la NGO moja iliuokuwa inafanya kazi miaka ya nyuma, project ilipo isha, gari ikabaki halmashauri
Asante kwa jibu mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hiyo NGO ilipo maliza mradi, ndipo ikawapa halmashauri hiyo gari na kisha shirika hilo likaondoka?
 
Asante kwa jibu mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hiyo NGO ilipo maliza mradi, ndipo ikawapa halmashauri hiyo gari na kisha shirika hilo likaondoka?
NGO zikimaliza kazi zao, magari yao hupewa serikali, au halmashauri husika km hiyo NGO ilijikita kwenye halmashauri hiyo.

Kila halmashauri hukosi gari za NGO.
 
Mkuu, ushamba na vijijini vina husiana vipi na gari kuanguka...
Na nani alikuambia kwamba Land Cruiser haina balance barabarani....
Yaani hiyo ajali, hata akipelekwa kipofu pale na akalipapasa gari na kuona jinsi lilivyo haribika..... Lazima atakujibu kwamba ile ajali imekua mbaya zaidi kutokana na MWENDO KASI.
Yes, chanzo cha ajali kinaweza kikawa kitu kingine, lakini dereva angekuwa na mwendo wa kawaida pengine asingekufa mtu na gari isinge haribika kwakiasi hicho.
Always Watanzania wengi ni wabishi kama wewe ! Ushamba wa kijijini ndio hiyo kutaka kukimbia hovyo kama kuna mashindano ! Landcruiser station wagon za kawaida ni tofauti n'a hardtop landcruiser cars ! Mwendo kasi ndio chanzo cha Ajali n'a hakuna kingine, Kwa kawaida dereva asiemshamba wa gari huwa hakimbii hovyo !!
 
Ebu ngoja tu nikubali kwamba USHAMBA ndio chanzo cha ajali.... tehteehhh
Maana kuchamba kwingi kusije nisababisha nikashika mavi bureee..
 
Wanasiasa nao sijui hawaambiwi ukweli unaweza kuta walienda kumwona katibu mkuu wa wizara ya maji ili awasaidie kupata hela za miradi ya maji wakati juzi tu hapa bunge limepitisha bajeti ya serikali. Haya ndo matatizo ya serikali kutofuata mifumo yake ya utendaji kazi. Poleni wafiwa!
 
Back
Top Bottom