TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

Mwanae Rashid Hilal alikuwa St Louis Missouri sijui kama alirudi au vipi
 
Rashid Hemed alikuwa kipenzi cha askari Arusha miaka ile. Ndiye aliyeamua kununua Tv early 90s kwaajili ya kambi zote za Polisi ili baada ya kazi jioni askari na familia zao waburudike (haikuwa rahisi mtu kumiliki Tv early 90s) .Nakumbuka jinsi watoto walivyokuwa wakikushangilia wakikuona Kambini na jinsi ulivyokuwa rafiki kwao. RIP Kamanda Rashid Hemed
 
A

Ni mwarabu alio anzisha Rushwa katika jeshi la polisi Arusha,alikuwa akilinda waarabu wenzake wasikamatwe kipindi hicho waliokuwa wanafanya biashara za pembe na wizi wa magari.

Du[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mkuu umenikumbusha kuhusu rafiki yangu Nasoro Hemed, classmate wangu pale Naura primary- Arusha. Nimepotezana nae kitambo sana.

Nampa pole sana kwa msiba wa baba yake.
mkuu,umemalza naura mwaka gani?me pia ni alumn wa naura
 
Wewe utakwenda jioni ya leo
nimecheka sana, kuna mtu aliambiwa atakwenda imekuwa nogwa kubwa sana

Rashid Hemed alikuwa kipenzi cha askari Arusha miaka ile. Ndiye aliyeamua kununua Tv early 90s kwaajili ya kambi zote za Polisi ili baada ya kazi jioni askari na familia zao waburudike (haikuwa rahisi mtu kumiliki Tv early 90s) .Nakumbuka jinsi watoto walivyokuwa wakikushangilia wakikuona Kambini na jinsi ulivyokuwa rafiki kwao. RIP Kamanda Rashid Hemed
 
nimecheka sana, kuna mtu aliambiwa atakwenda imekuwa nogwa kubwa sana
Just kumchemsha mtu! Huku nilipo kuna kichaka watu na Benz, V8 etc zao wanakuja kuaguliwa- huyo ukimwambia utakufa anaamini! Unamchemsha tu
 
Hivi haya Makaburi ya Kisutu na Kinondoni hayajai tu jameni?? Kwann serikali isione hili jambo la kuzika kinondoni /kisutu mbona hapajai
Wazikaji ndo hawasikii wala hawaoni , its a big community wangetafuta eneo jingine kama ilivyo kwa bohra et al
 
Back
Top Bottom