TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

Aliewahi kuwa kamanda wa police mikoa ya Arusha na Dodoma, DCP mstaafu Rashidi Hemed amefariki nyumbani kwake Oysterbay asubuhi ya leo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya saa 7 mchana.

Inna Lilah wa ina Ilaihu rajiun. Mwenye picha aiweke
 
Du[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hivi Manyerere bado upo wale Waburushi wa Mbarali hawaja kutafuta bado tu ? Au ule ulikuwa mpango fulani maalumu uliosukwa kiustadi kabisa na wewe kushirikishwa kama sehemu tu ya kufikisha ujumbe ila motives wanajua wenyewe? Wewe si ulisifiwa bwana kule bandari wanakopitisha pipe zao ? Hivi wameshazitoa ?
 
Alazwe mahali pema peponi kamanda Rashid Hemed,japo huyu nimtu alikuwa hatari sana,ktk uhai na madaraka take aliweza kukinda majambazi sugu alipo kuwa Dodoma na wauza madawa ya kulevya pia alikuwa ni bingwa wa kutembea na wake za watumishi wake,hatu mshutumu ila mungu ndo muweza wa yote
 
Back
Top Bottom