Poleni sana wafiwa,je amekufa kifo cha kawaida au amejinyonga?
jf inanipa raha jamani......
Poleni sana wafiwa,je amekufa kifo cha kawaida au amejinyonga?
Kwa habari nilizozipata kutoka Iringa ni kwamba Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa amefariki dunia jioni ya Jana.
Poleni sana wahehe, poleni sana wanakalenga na Iringa kwa ujumla.
Poleni sana wafiwa,je amekufa kifo cha kawaida au amejinyonga?
Ndio yule bonge la mtu!??
RIP Chifu na pole nyingi sana kwa familia yote ya Mkwawa
haswaaa,ndio yeye alikuwa akipanda gari ndogo lazima ilalie upande wake
Ok nimeshamkumbuka mkuu kipindi hicho tosa boys tulikua tunameet nae kwenye sherehe mbalimbali.
Swela bee!!
Navalonge swela.
Ndimgayasida bee???
sasa chifu wa kiafrka aliitwaje abdul jina la kiarabu?