TANZIA:baraka masele amefariki dunia leo

TANZIA:baraka masele amefariki dunia leo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,697
Reaction score
59,202
Mmoja wa wasisi wa kundi la wasanii la wanaume halisi lenye masikani yake pale Temeke nyuma ya uwanja mpya wa taifa dar baraka masele aka BK amefariki dunia leo Muhimbili.
Bk alikua akisumbuliwa na maradhi ya tumbo.
roho ailaze mahali pema roho ya marehemu.
Habari zaidi zinafuata. mia
 
Huyu jamaa ndio niliyependa michano yake kwenye nyimbo ya ndege tunduni wa TMK Wanaume halisi
 
Sintah afanye hima akampe pole mtoto wa mzee mwalubadu, aka nature!! Rip tangulia, siye tupo nyuma yako twaja!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    43.9 KB · Views: 465
Back
Top Bottom