balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,700
- 14,210
Natangaza kifo cha Mzee Ramadhani baba yake Isha Mashauzi. Kifo kimetokea Leo alfajiri 13 Feb, 2016.
Mzee alilazwa Muhimbili baada ya kuhamishwa toka hospitali ya Temeke na mauti kumkuta hapo Muhimbili.
Pole sana wafiwa.
RIP Mzee Rama.
Mzee alilazwa Muhimbili baada ya kuhamishwa toka hospitali ya Temeke na mauti kumkuta hapo Muhimbili.
Pole sana wafiwa.
RIP Mzee Rama.