kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,005
- 6,666
APP (Alale Pema Peponi). Pole kwandugu jamaa na marafiki.
Mzee Kingunge ndo alikuwa waziri muhusika akawa anapinga Mbowe kutumia bendera ya taifaNakumbuka pia majungu ya Makamba kuwa kati ya wagombea 10 wa urais zaid ya nusu wanatokea kanda......
Nakumbuka mdahalo mkali na JK alishiriki
Nakumbuka Mbowe alitumia background ya bendera ya taifa kwenye poster zake. Wale waliojimilikisha nchi wakaanzisha zengwe
Alikuwa nesi tuu banakumbe huyu mama alikuwa daktari by professional??
huwe unas0ma kwa makin
Uwe unaandika kwa makiniR.I.P Madam
Wewe na Faizafoxy ni ma senior spinster ndo maana mnashinda JF 24 hrs, mwanamke mwenye mume sometimes angekuwa bize na mumewe.lala kwa amani mama
ha haaaha tulia weweWewe na Faizafoxy ni ma senior spinster ndo maana mnashinda JF 24 hrs, mwanamke mwenye mume sometimes angekuwa bize na mumewe.
Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna Claudia Senkoro ameaga dunia.
Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kukimbizwa hospitali asubuhi ya leo.
Msiba upo nyumbani kwake, Tabata Segerea jijini Dar.
Taarifa zaidi zitafuatia...
====
Matokeo ya Urais 2005)
Jakaya Kikwete (CCM)
9,123,952
80.28%
Ibrahim Lipumba (CUF)
1,327,125
11.68%
Freeman Mbowe (CHADEMA)
668,756
5.88%
Augustine Mrema (TLP)
84,901
0.75%
Sengondo Mvungi (NCCR-Mageuzi)
55,819
0.49%
Christopher Mtikila (DP)
31,083
0.27%
Emmanuel Makaidi (NLD)
21,574
0.19%
Anna Senkoro (PPT-Maendeleo)
18,783
0.17%
Leonard Shayo (MAKINI)
17,070
0.15%
Paul Kyara (SAU)
16,414
0.14%
Bwana Ametoa Bwana ametwaa
Mzee Kingunge ndo alikuwa waziri muhusika akawa anapinga Mbowe kutumia bendera ya taifa