TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

PPT maendeleo, maskini mwanamke mwenzetu akambulia chini ya jumla ya kura 20,000 wakati kikwete alikuwa 9m.
Jamani mchawi wa mwanamke ni mwanake mwenzeka.

hapana.
hakukosa wala kupata kura kwa uanawake wake!
ni kwa ajili ya mamboengi sana yaliopelekea hadi wanae kupata kura sawa na yeye.
Naomba usiwe kati ya wale wanaofanya uamuzi kwa kuweka mbali umahiri wa mtu na kusogeza karibu gender, dini, kabila etc.
 
Rest in Peace, Ila Kwa Faida Yetu Sote, Mwanamke wa kwanza Kugombea Uraisi Tanzania hii ni Mama Naila Majid Jiddawi, ilikua mwana 1995, kwa ticket ya chama cha NCCR Mageuzi
 
Leo amezikwa makaburi ya Kinondoni,Rais mstaaafu JK akiambatana na Mama Salma walihudhuria.RIP
 
Nakumbuka mwaka 1995 ndio tulipata mgombea wa kwanza mwanamke. Alikuwa ROSE RUGENDO, ingawa hakufikia hatua hiyo ya ANNA SENKORO lakini nadhani ndio mwanamke wa kwanza kugombea URAIS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom