Tanzia: Aliyewahi kuwa Jaji Mkuu Zanzibar, Mzee Ali Haji Pandu afariki Dunia

RIP Alhaji Pandu. Nimeiangalia hiyo picha imenipa funzo kubwa sana kuhusu wake zetu. Mara nyingi ndio watu wanaotusaidia sana kipindi unapopitia magumu. Tuwaheshimu wake zetu tunapokuwa wazima wa afya
 
Basi kila mtu na mawazo yake..mie nimehisi kama ni Mwandishi wa habari..umri huo huyo awe mke??
 
Hhaha huyu mbona alikua anajulikana mkuu?? Hahhaha..
... Mkuu hiyo title imerekebishwa na mods baada ya malalamiko yetu humu; it was simply "Mzee Ameir Pandu Amefariki Dunia" as simple as that. Hata kwenye main body hakuwa amedokeza wasifu wa marehemu. Otherwise, baada ya marekebisho hayo truly Mzee Pandu Ameir is a great statesman whose demise is not only a family and relatives' matter but also attracts public attention.
 
Kama wamewahi kuwa vigogo we post tu, wala haitatukera.

Sent using Jamii Forums mobile app
... na hoja yangu ilikuwa hiyo!

... title imerekebishwa na mods baada ya malalamiko yetu humu; it was simply "Mzee Ameir Pandu Amefariki Dunia" as simple as that. Hata kwenye main body hakuwa amedokeza wasifu wa marehemu. Otherwise, baada ya marekebisho hayo truly Mzee Pandu Ameir is a great statesman whose demise is not only a family and relatives' matter but also attracts public attention.
 
RIP Alhaji Pandu. Nimeiangalia hiyo picha imenipa funzo kubwa sana kuhusu wake zetu. Mara nyingi ndio watu wanaotusaidia sana kipindi unapopitia magumu. Tuwaheshimu wake zetu tunapokuwa wazima wa afya
Heshimu mwanamke, kamwe usilete kiburi jeuri na madharau dhidi yao
 
Back
Top Bottom