MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,913

Aliyekuwa mwanahabari na mtangazaji wa siku nyingi na mchambuzi wa maswala ya muziki kwa siku nyingi redio Tumaini, FRED MOSHA amefariki leo alfajiri kwenye hospital ya taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa kupigania uhai wake baada ya kuugua kwa muda mrefu Saratani.
Bwana ametoa bwana ametwa jina la bwana lihimidiwe, Ameni!