TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Kukosea kuoa ni janga baya zaidi katika maisha ya mahusiano, kiukweli marehemu alikuwa amempenda sana huyu dada ila huyu dada alikuwa anaigiza. Dah hata picha za harusi na matukio mengine jamaa alikuwa ana tabasamu ya ukweli ila dada yetu hakuwa naye kabisa kimapenzi.
Wahenga walishasema " Mapenzi yanaua mama haaaaa, wawili mnapopendana hahahaha Kumbe mapenzi sikia haloo hoo.... Sina zaidi' Ila nimesikitika saaana
 
Irene hajatulia toka mtoto kapinda vibaya mnoo

Kuna siku nilikua kkoo pale shule ya Uhuru kabla hawabomoa "keep left'alikuja anaendesha bonge la pikipiki km ulaya vile halafu alikua mwendo kidogo akakata bonge konaaaa

Wamachinga walimshangiliaaa halafu akasimama akaondoka huyoooo!yule kapinda kuolewa tulishangaa mana km maskendo tuu anayo ila ndoa bahati
Very True...we unamjua Irene kiukweli..

Bonge moja la msela ila anapenda mab.o.ro hatari hatari
 
Uwoya wadau wengi wanasema.anawafukulisha viazi washkaji hata h baba alishawahi kulala kwamba Irene anamlazima kufukua viazi .

Kuna mdau humu jf alishawahi kusema pia Irene amekubuhu kufukulisha viazi na kwamba jamaa aliotoka nao washakata tiketi kibao na kwamba ana file pale mwananyamala hospjtal kuhusu ile ishu .

So sishangai hata janja saivi atakuwa anafukua viazi vya uporoto kila siku .
mbona bongo muvi wengi wanafukuliwa viazi vya uporoto iyo ndio michezo yao
 
RIP Brother. Ila wanawake wengi ni maadui wakubwa. Huyu jamaa kunauwezekano Stress imemletea Heart attack kwani alipokuwa na hali nzuri ya kiuchumi alipata kila aina ya mapenzi kutoka kwa Irene lakini alipostaafu mambo ya soka Irene alipogundua jamaa financial hayuko vizuri akaamua kum dump. Soma message yake ya mwisho ilifikia hatua hata mawasiliano na mtoto wake yakakatika. Men hii inatufundisha tuwe careful katika kuoa kwani wanaume wengi wamepata mtihani huu.
Irene Uwoya asifikilie ameshinda kwa kutoa Crocodile Tears kwani what's going around comes around.
 
We ulikuwa unamjua ababuu?...weka mbali na chekechea

Kaivuruga bongo movie ya kike kama baikoko, acha kabisa
ababuuu nomaaa!sishangai kua na ngoma kuna kipindi wolpa na uwoya walikhitilafiana sababu ya ababuu
Eti siku hiyo linahojiwa linajiliza " mi ndiku sikumpenda kuna mtu ninaye nampenda sana" wanawake sisi
Aliolewa ili akaangalie mkato wa chumba na kutukomesha wambea
 
Kwani kuna Mtu yoyote kataja labda Ugonjwa uliomuua Ndikumana au unawashwawashwa tu Mkuu? Acha Kiherehere na tena usitake Watu tukafunguka zaidi juu ya tatizo lake ili ndiyo ujue kwamba sababu Kuu ni nini. Ukipata muda jioni Saa 1 njoo maeneo ya Leaders Club katika Goli la Chips na Kiosk cha Mchezaji mmoja wa Yanga ambaye alipata taabu sana kwenda kumuona Nonda Shabaan Papii huko Kwao Congo ila ndiyo aliyemsaidia pia ' Ndiku ' kuja nchini hadi akasajiliwa na Simba SC kisha utayapata zaidi na kama hapo utaona mbali mida ya Saa 3 tukutane Magomeni Mikumi jirani kabisa na Kijiwe cha Timu ya Masela ya Friends Rangers ambako utakutana na Mchezaji mmoja ambaye sasa anaishi katika nchi iliyoifanya Italia isicheze World Cup mwakani akupe na mengineyo zaidi kwani Yeye ndiyo aliyempokea ' Ndiku ' huko ng'ambo na alilijua mapema / siku nyingi sana tatizo lake alilokuwa nalo. Kama ukishindwa huko kote kama unaweza nenda Mwananyamala Hospital kamtafute Nesi mmoja hivi mcheshi mcheshi sana pale jina lake la mwanzo linaanzia na herufi J na la herufi yake ya mwisho katika jina lake la Ubini / Ukoo linaishia na herufi E kisha atakupa status nzima ya Mrs. Dogo Janja. Kila la Kheri.
Hahahahahah mzee baba ww ni mzaramo nin mbona unafunguka ki mafumbo mpaka bhasi,haya bhana yetu na
 
Duh!Kipi bora sasa? michezo ama mazoezi au kukaa bila kuchosha misuli ya moyo?
Kutofanya mazoez ni hatari zaidi, utapata cardiac arrest, blood pressure, heart attack, stroke nk..

Kwa wanamichezo wanaofanya check up ni rahisi kuzuia kwa sababu mara nyingi hakuna dalili za wazi.. Na cardiac arrest si kama malaria kwamba kila mtu hupata ingawaje ukipata una dakika 3-5 za kuishi kabla ya kufanyiwa huduma ya dharura..

Inayotokana na matatizo ya moyo moja kwa moja ni complicated, lakini inayotokana na mitindo ya kimaisha inazuilika na moja ya njia ya kuzuia ni kufanya mazoezi
 
Back
Top Bottom