Tanzanite One yaachisha kazi rasmi

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya vito ya TANZANITE ONE yenye makao yake mererani mkoani arusha hatimaye imewaachisha kazi wafanyakazi 618 wa kampuni hiyo.

Kampuni hiyo inayomilikiwa na raia wa kihindi riziwan ullah iliingia katika mgogoro mkubwa na chama cha wafanyakaz wa migodini(TAMICO)baada management kuonekana ni MAKANJANJA kwa kutaka kuachisha wafanyakazi bila kuwapatia stahiki zao kulingana na sheria zilizowekwa.

KAMPUNI hiyo ambayo ni jipu imekuwa ikilalamikiwa na wafanyakazi pamoja na wazabuni kwa kuchelewesha malipo yao.

Mbali na hayo imekuwa ikitoa taarifa za uongo ktk ulipaji kodi na mapato ya serikali na kufanya iwekwe katika blacklist ya wakwepa kodi.

Ni kampuni ambayo kwa sasa ni CASE STUDY WHEN BAD EXAMPLE IS REQUIRED.
 
Last edited by a moderator:
Wamelipwa stahiki zao? Au tutegemee hilo jambo kuchachamaa kwa wafanyakazi kuachishwa kazi bila kulipa stahiki zao?
 
Kutokana na chanzo cha ndani hakuna aliepata stahiki isipokuwa wamepewa ahadi ambayo sidhani km itatekelezwa kulingana na utapeli wa kampuni hiyo
 
Sheria za kazi za migodi ni tofauti na ofisini.mfanyakaz w mgod anappachishw lazma apimwe afya km ameathirika malipo yake yanaongezeka.pili lazma apew mabati na cement
 
Muhongo nenda katumbue jipu hapo limeshaiva kabisa tena mapema tu wala usichelewe kabisa.
 
Back
Top Bottom