Tanzanite - Ndani ya Sandton Johannesburg | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanite - Ndani ya Sandton Johannesburg

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Sep 6, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna ka-kampuni fulani niliwahi kuambiwa ndo kana-haki miliki ya kuratibu mambo yoote ya madini ya Tanzanite.

  Haka ka-ofisi kako based Johannesburg - sehemu za Sandton, hivi kuna ukweli wowote wadau?

  Na kama ni kweli kwanini haya mambo yanayotambulisha utaifa wetu tushindwe kuyaratibu sisi? Hivi ni kweli watanzania tupo nyuma kiasi hicho ...kiasi kwamba kila kitu tunatafuta investor wa nje?
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  inaitwaje hiyo kampuni?
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tanzanite international
   
Loading...