Tanzania's Unusual Immigration Case

Tanzania's Unusual Immigration Case

Pamoja na maneno ya kimtazamo wa Kinyarwanda wa mwandishi wa makala haya nipende kumkosoa kidogo katika baadhi ya mambo, nikimtaka zaidi apitie Sheria ya Uraia ya Tanzania, na pia Sheria ya Uhamiaji ya Tanzania. Kilichoandikwa ni ushabiki zaidi na kusahau sheria ziko wazi. Nimezipitia na pasipo kuchambuia vifungu niweke wazi uhalisia wa niliyoyabaini katika makala haya.
"The only reason they kicked me out is because of my physical looks," Matata tells me, "They said I look like a Munyarwanda, that was all the crime I committed.
Kama hiki ndio kinafanyika basi hapo kuna mapungufu na hili naamini ni jambo dogo tena linalorekebishika. This must be noted by the concerned!

………….the vast majority of them are actually citizens of Tanzania being victimised by central and local authorities for being of Rwandan ancestry. .
Huu ni uongo mweupe! Haiwezi kuwa ‘the vast majority’. Hii hata motto mdogo atakubishia! Kuwepo wachache walioondoshwa ‘kimakosa’ sikatai.

….She got married to a Tanzanian man with whom they begot four children. She was kicked out and left her entire family behind. She says she had a residence permit and voting card both of which were confiscated when she was crossing the border, a sign that policy implementation has more than what the policy says.
Dhambi nyingine hii. Ati ana residence permit na voting card! Mgeni alikuwa ana-vote! Nini kinamhalalisha huyu kubakia Tanzania kwani ashaanza kujipa uraia sio wake! Mpiga kura Tanzania ni raia tu! Huyu vipi? Na eti analaumu kuondoshwa kisa aliolewa na mTZ!

………………..many refugees think that the call to expel illegal migrants is a disguised form of a war against people who share Kinyarwanda culture.
Huku kunaitwa KUTUPANDIKIZA CHUKI!

Vedasti Nkurunziza, 33, migrated to Tanzania in 2004. He married a Tanzanian and now they have two children together and a pregnancy. They are expecting a child in September. However, he was forced to leave his family. He registered for citizenship because he was eligible as a migrant married to a Tanzanian. But he was kicked out before he could get his papers approved or rejected. Therefore, although he did not have residence papers at the time he was expelled, he was on track to get his citizenship as the law states.
Kabla ya kutuchonganisha, asome kwanza sheria juu ya taratibu za kupata uraia wa TZ. Hapo kwenye red ndo pameharibu kila kitu….aende tu!

"The whole campaign against illegal migrants is a disguised xenophobia against Banyarwanda. Local officials have been spewing anti-Banyarwanda propaganda, which the government of Tanzania seems to have bought line, hook and sinker."
Hili si ajabu kusemwa na mnyarwanda yeyote. Hata wanaoondoka wanamlaumu Kagame kwa ‘kuropoka’.

The process of expulsion has not been without violence. All too often, those being expelled are subjected to beatings….
Unataka kusema yanatimizwa maagizo ya PM?

"But how can one ethnic group be accused of all these crimes," the activist asked, "It is clear that they want to expel Rwandans in order to confiscate their property and share it among themselves. The local officials become rich while officials in Dar Es Salam are rewarded with political support for giving their voters free assets."
Unachekesha mambo mengine!

"I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my country but so far they have treated me with decency. These are proper human beings. Although I left all my friends and relatives in Tanzania, I don't want to go back to that country."
Yupo kwao huyu….Asitafute huruma kijanja. Kama ni mTZ kwa nini asipiganie hili? Kususa kunamkomoa nani?
……. Therefore, the 1961 blanket citizenship on the eve of independence was understood as aimed at helping Tutsi refugees in the country feel at home.
Hakuna kitu kama hiki…..msimsingizie Nyerere. Kama uhuru umekukuta we si raia uliendelea kubaki sio raia FULL STOP!

…… Serestin Ben, 26, born in Ngara is a second generation Tanzanian. His parents migrated to Tanzania in 1959. The father died in 1992. The mother then got married to another man who is a Tanzanian-Rwandan. When Kikwete issued his expulsion order, he says, Tanzanian officials came to his home saying "you resemble Banyarwanda."
Sheria iko wazi. Huyu sio raia! Kwa sasa nikomee hapa.
 
watusi acheni hizo!!!!!rudini kwenu bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.mna utamaduni wa kishenzi sana.mkienda nchi za wengine mnangangania huko na kusema ni kwenu.rudini nawaambieni.
 
kumbuka hata kagame alienda uganda kama mtu wa kwaida tena mtoto mdogo wa miaka minne lakini karudi kwao rwanda, james kaberabe alizaliwa drc na kupata stahili zote kama mkongo lakini aliwasaliti na kurudi rwanda achilia mbali mauaji ya halaiki anayoendeleza kwa nchi iliyomlea kupitia m 23! Watusi ni watu wachafu sana

umesema mkuu.sio wachafu tuu,ni wachafu kupitiliza.ni katili,wana agenda za siri,watoa rushwa wakubwa,wana dharau iliyopitiliza,mtusi ni mnyaruanda tu popote alipo,wametangazia ulimwengu wanatawala tanzania !!!wanatuita watanzania ni wahutu,yaani watu wa kutawaliwa tu!duuh.wengi wana vitambulisho vya kupiga kura,huwa wanapigia chama gani????tafakari.
 
Zoezi hili lisiishie maeneo hayo machache liwe la nchi nzima, mijini kuna wahamiaji haramu wengi tu hawajaguswa, tendeni haki kwa kuwaondoa wale wote wanaoishi kinyume na taratibu
 
Kuna ma baharia wa Kitanzania wameenda south africa miaka kama 30 sasa. Lakini wanawindwa vibaya na polisi na wakinaswa tu lazima wayaone mabati mekundu ya ukonga.

Kuna wengine kule Israel waafrika, wameishi miaka mingi tu ya kutosha, na ole wao Netenyahu anawanase. Na kuna mmoja alinisimulia japo sina uhakika wanawakusanya na kuwapakia kwa ndege, na ndege hiyo ikitua kokote kwa nchi ya africa wana aacha hapo na wanaishia zao, sasa ni wewe utajijuu.

Ukiwa mhamiaji haramu ni mhamiaji haramu tu, sasa utathibitisha je umeishi miaka mingi mahala hapo? Ndio maana kuna dhana ya kujiripua, yani unajifanya mkimbizi, sasa hawa wakwetu hawana tena hiyo tekniki ya ukimbizi.
 
alikuwepo wapi? Uraiani au alikuwa kambini kwa wakimbizi?

Kwanini hamtaki kuelewa? Huyu kazaliwa na mkimbizi kwahiyo na yeye ni mkimbizi tu.

yeah man.YOU ARE DEAD RIGHT.once a gunner always a gunner.once a gamba always a gamba.mleta mada ni mtusi bana anacanvass sympathy.ndio zao.waende tu nyumbani kwao.tutakuja kuwakamata wakiipigia ccm kura,wataenda kunyea debe!!wanacdm kueni makini na hawa jamaa.kwa nini ccm iliwavumilia mpaka wakajazana kwa kiwango hiki!!!!!!!!tafakari.
 
Nendeni Marekani mkae muda muone kama mtakua raia bila kufuata taratibu za kuupata huo uraia, na Marekani ni moja ya nchi ambazo waishio pale wengi walihamia!!!kama kuondoka Tanzania mbona wengi tu wameondoka nchi kibaooo, iweje moja ndio ilalamike weeee... Kama mtu alijua yeye kazaliwa hapa lakini asili yake si hapa Tanzania kwanini hakufuata njia rasmi zilizopo apate uraia halali?
Kwa taarifa yenu hao kamwe hawawezi kukana uraia wao na ndio maana kila waendapo wanaushikilia sana,sasa hakuna hata siku moja watajiita watanzania hata wakipewa huo uraia.mfano mmeshautoa hapo juu wa kuhusu rais wao .... Mwishowe waje waondoke na sehemu ya ardhi yetu (Irredentism) kama sehemu ya nchi zao.
Crime against humanity inajulikana kasome hiyo convection vizuri, mbona ukikutwa huko Ulaya unarudishwa faster au wao sio crime kwetu ndio crime?
 
Tunatia aibu. Hawa tunaowaita "illegal immigrants" wametukosea nini? Hizi ni siasa za chuki, vindictiveness na xenophobia. Hazikutakiwa kuwa na nafasi katika nchi kama yetu.

Amandla.....
Mkuu usisahau kuwa hilo zoezi halikufanywa as an after thought, bali baada ya ku consider all facts on the ground.
Hebu tupate maoni yenu juu ya haya:
  • Is it a coincidence kwamba sehemu hizo, mipakani, kuna ujambazi wa kutisha kwa kutumia SMG's na military weapons
  • Is it a coincidence kwamba kuna uingizaji mkubwa wa mifugo toka nchi jirani, tena kwenye mbuga za wanyama bila kujali madhara yake
  • Is it a coincidence kwamba watu WANAJIFAHAMU status yao ya uraia, wanapewa muda kujihalalisha , hawafanyi hivyo kwa vile wanajua wana kwao?
  • Kwa waTanzania walioko nje ya nchi, hivi huko nchi za ughaibuni watu wanakaa kimkanda mkanda and expect everything to be alright?


Ni vema haya maswali tukajijibu kuona picha nzima.

Code:
[B][COLOR=#FF0000][I]Nendeni Marekani mkae muda muone kama mtakua raia bila kufuata taratibu za kuupata huo uraia[/I][/COLOR],[/B] na Marekani ni moja ya nchi ambazo waishio pale wengi walihamia!!!kama kuondoka Tanzania mbona wengi tu wameondoka nchi kibaooo, iweje moja ndio ilalamike weeee... [B][COLOR=#FF0000][I]Kama mtu alijua yeye kazaliwa hapa lakini asili yake si hapa Tanzania kwanini hakufuata njia rasmi zilizopo apate uraia halali?[/I][/COLOR]
[/B]Kwa taarifa yenu hao  kamwe hawawezi kukana uraia  wao na ndio maana kila waendapo wanaushikilia sana,sasa hakuna hata siku moja watajiita watanzania hata wakipewa huo uraia.mfano mmeshautoa hapo juu wa kuhusu rais wao .... Mwishowe waje waondoke na sehemu ya ardhi yetu (Irredentism) kama sehemu ya nchi zao.
[COLOR=#FF0000][I][B]Crime against humanity inajulikana kasome hiyo convection vizuri, mbona ukikutwa huko Ulaya unarudishwa  faster au wao sio crime kwetu ndio crime?[/[/B][/I][/COLOR]QUOTE]
 
Ktk makabira yaliyo Tanzania sidhani kama kuna kabila la wa tutsi ama wa hutu ama wa lingara. Nafikiri tusipotoshe.
Kwa upande wa burundi, rwanda, na DRC baada ya mkoloni kupigilia mstari waliokuwa wanapakana huko ama waliotengwa kwa mstari hiyo kila upande ulibadiri majina ya makabila.

Mfano, wale wa upande wa burundi,rwanda,drc,uganda kwa upande wa Tanzania waliijita waha, na wahangaza, wamanyema, wahaya. Baada ya mda hii ili create damarcation yani ya kwamba hadi uhuru hata lugha ilikuwa inatofautiana japo wanaweza baadhi kusikilizana kwa mbali. Hivyo kwa Tanzania, hatuna watutsi, baganda wala wahutu ama wa congo man huu ndo ukweli wenyewe. Watutsi, wacongo, wahutu kwa upande wa tanzania ni wahamiaji.


Kwa upande wa Kenya story ni tofauti, maana hawa wakoloni waliweka mipaka lakini walishindwa kuthibiti hizo mipaka kuzuia watu, kwa sababu ya makabila ya kikurya na kimasai yaliwadhibiti wakoloni.
 
Hili zoezi la kuondoa wakimbizi haramu linatiwa siasa mno. Naamini wanyarwanda wataona kuwa wanaonewa kwa sababu tu hivi karibuni viongozi wa serikali zetu wamekuwa wakitupiana majitaka. kweli kuhusu uraia wa kuomba haurithishwi. Mtoto akifikisha miaka 18 inabidi aombe pia. Sasa kwa vizazi vingapi sijui. Zoezi hili na hakika limekuwa na mapngufu lakini limefanikisha kuwaondoa wahamiaji haramu zaidi ya elfu ishirini. Kagera kama ilivyo Kilosa kuna migongano kati ya wakulima na wafugaji na mara zote wakulima hulalamikia wafugaji, ambao kwa bahati mbaya wengi si wa makabila wenyeji wa eneo hilo. Hivyo utaona wengi wa wnyarwanda walioathirika ni wafugaji. Kwa mtizamo wangu sioni tofauti, huu ni mgogoro wa wenye mifugo na wakulima. Limekuwapo sana na kabla ya hiyo amri kulikuwa na malalamiko ya mifugo mingi kuingia kufata malisho, na hawakulisha porini bali hata mashambani. Upungufu ni wa kutenganisha familia. Kibali cha mume/mke ambaye si raia ni usd 250 kila baada ya muda fulani ambazo ni wazi wengi wao hawawezi kumudu. Jewarejeshwe hilo niswala la hekima wenye wake na waume wafungue malalamiko yao hamiaji au mahakamani. Japo wengine wameapa kutokanyaga Tanzania asilani. Nawapo poleni waliokumbwa bila hatia, ndio utekelezaji weetu huo kisiasa. Nakumbuka pamoja na nia njema ya operesheni vijiji, kuna watu walihamishwa toka kwenye ardhi yenye rutuba na kuhamishiwa pasipo rutuba.
 
Agnes Nyirantegeyimana, 60, was born in Karagwe, Tanzania. Her parents were also born in Tanga, Tanzania. So she is a third generation Tanzania. She was married and is now widowed with eight children. However, three of her children were expelled with her while the other five remained behind in Tanzania. She does not know where they are. She told me that she was chased away and she left behind all her property and came to Rwanda with nothing. Like many Tanzanians of Kinyarwanda culture, she does not have friends and family in Rwanda.

"I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my country but so far they have treated me with decency. These are proper human beings. Although I left all my friends and relatives in Tanzania, I don't want to go back to that country."


Someni hii laarifa kwa umakini mtaona mwandishi amekusudia nini, huyu anadai tz ndiyo nchi yake halafu anasema harudi ena hata wafanye nini..mh!.........halafu mbona wale wa bulyankulu waliishi kwa miaka mingi na walipotakiwa kondoka walitii bila shururti.......Tanzania inasemwa kwa uamuzi huu...lakini Australia inayowahamishia nchi nyingine haisemwi wakati inawapeleka ugenini kabisa..bora bongo wanawaonyesha njia ya kurudi kwao.....tatizo tuliwaacha hadi wakawa na mizizi lakini bado ni wanyarwanda tu.

 
Alikuwepo wapi? Uraiani au alikuwa Kambini kwa wakimbizi?

Kwanini hamtaki kuelewa? Huyu kAzaliwa na Mkimbizi kwahiyo na yeye ni Mkimbizi tu.


Mbona unatia maneno yako katika habari husika? Hapo kwenye red umeitoa wapi hiyo?

Unazijua kweli sheria za JMT ndugu? Habari za makambi ya wakimbizi na uraia kabla ya 09/12/1961 zinaingiliana vipi na Tanganyika/Tanzania huru?

Kwa faida yako embu rejea hiyo habari hapo juu ili ufahamu bwana Matata ni kizazi cha ngapi katika ukoo wake ndani ya mipaka ya JMT then ipitie Citizenship Act of 1995.
 
Ndugu zangu wanajamvi
Hizi ni propaganda za Wanyarwanda tena hapa niseme wazi ni watusi.
Kusema kuwa wameondolewa kwasababu ya maumbile si kweli. Je, mkongo aliyeondolewa akiwa na umbile la Kinyarwnada naye asemeje

Kwanini Wanyarwanda wanalalamika sana na si Wakongo, Warundi au Waganda. Takwimu za karibuni zinaonyesha walioondoka wengi ni Warundi kuliko Wanyarwanda.

Wanasema kuwaondoa kutaua spirit ya EAC. Huu ni uongo hakuna mkataba wa kuhama uliofikiwa hadi sasa. Spirit ya EAC haiwezi kuwa katika kuvunja sheria za nchi kiholela.Kama wanataka spirit ya EAC waende Uganda na Kenya.
Uganda wametimuliwa mbona hawalalamiki

Ukisoma article mpiga propaganda amejisahau na kusema Rwanda ina tatizo kama watu wake waliopo nje watarudi kwao. Hilo ndilo tatizo wanalotaka kulihamishia Tanzania akwa kisingizio cha urefu wao na pui . Rwanda lazima wa deal na tatizo lao si kuhamishia matatizo yao kwa gharama za wananchi wan chi yetu

Wengi wanasema walikuja Tanzania,hawasemi waliingia kwa njia gani. Baada ya kuoa wanadai uraia. Sheria za uhamiaji hazisemi kuoa au kumpachika au kupachikwa mimba kunajenga uhalali wa uraia. Mimba na uraia ni vitu tofauti.

Wanasema hawajui Rwanda, well ! kuna Mnyarwanda amesomeshwa hapa Tanzania hadi kanali wa jeshi, juzi amerudi kwao Rwanda. Lazima tuangalie watu wanatoka wapi na wana tabia gani.

Tunao Wajaluo wanaishi kwa amani tena wengine hadi uwaziri. Wanyarwanda wote wliosomea na kukulia Tanzania wanarudi kwao kwa kusema wao ni kama waisrael. Wake up call

Wanasema wamenyang’anywa ardhi na mali zao. To hell! Mtu hana kibali cha kuishi kumiliki ardhi amekipata wapi? Watanzania waliochukua uraia wa Nchi nyingine hawaruhusiwi kumiliki ardhi, sembuse Mnyarwanda aliyekuja kwa njia za haramu

Kuhusu ujangili na uhalifu hilo hakina baada ya genocide waliambiwa wachukue uraia wao wamekataa, wakakimbilia misituni.Kwanini hawataki uraia lakini wanataka kuishi Tanzania.

Wananchi wa Kagera wameteseka sana na uhalifu. Siyo Waganda au Wakongo ni Wanyarwanda wanaokuja na silaha na kufanya uhalifu, ushhidi upo wa kutosha

Wapiga propaganda wa Rwanda lazima watambue kuwa Tanzania haijavunja sheria yoyote ya kimataifa. Hakuna !

Propaganda za kuichafua Tanzania zinatutia kichefu chefu na waelewe kuwa kadri wanavyopiga propanda we will pursue them perfect and squareWanatumia legacy ya Nyerere kutaka kuishi kwa njia haramu! Stupid. Nyerere haku promote uvunjaji wa sheria.

Record ya Tanzania kuhusu ‘humanitarian’ ni outstanding na ipo katika guiness book.
Ni taifa lililowahi kutoa uraia kwa wananchi 160,000 kwa wakati mmoja.
Lakini lazima taratibu zifuatwe. Mbona 160,000 hawajarudishwa kwao wakiwemo Watusi kwa maelfu?

Wanyarwanda na Watusi acheni propaganda za kijuinga kipuuzi na kitoto
 
Agnes Nyirantegeyimana, 60, was born in Karagwe, Tanzania. Her parents were also born in Tanga, Tanzania. So she is a third generation Tanzania. She was married and is now widowed with eight children. However, three of her children were expelled with her while the other five remained behind in Tanzania. She does not know where they are. She told me that she was chased away and she left behind all her property and came to Rwanda with nothing. Like many Tanzanians of Kinyarwanda culture, she does not have friends and family in Rwanda.

"I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my country but so far they have treated me with decency. These are proper human beings. Although I left all my friends and relatives in Tanzania, I don't want to go back to that country."


Someni hii laarifa kwa umakini mtaona mwandishi amekusudia nini, huyu anadai tz ndiyo nchi yake halafu anasema harudi ena hata wafanye nini..mh!.........halafu mbona wale wa bulyankulu waliishi kwa miaka mingi na walipotakiwa kondoka walitii bila shururti.......Tanzania inasemwa kwa uamuzi huu...lakini Australia inayowahamishia nchi nyingine haisemwi wakati inawapeleka ugenini kabisa..bora bongo wanawaonyesha njia ya kurudi kwao.....tatizo tuliwaacha hadi wakawa na mizizi lakini bado ni wanyarwanda tu.




Ferd,umenena vyema hapo mwishoni mwa comment yako.Sasa kama hapa ni kwake kwanini aliondoka?

"I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my country but so far they have treated me with decency. These are proper human beings. Although I left all my friends and relatives in Tanzania, I don't want to go back to that country." ... kama ingekua anajikubali kuwa mtanzania wala asingeiita "that country" angesema 'my country' tusikie kama anaiopenda kweli!
 
Wao kamwe hawawezi kuusahau uasili wao bali wanauimarisha popote walipo mfano waliopo Congo... na hata wakipata uraia wa nchi nyingine wakirudi kwao bado ni raia kwa sababu wao hukubali 'dual citizenship' jamani kwa sisi ni hatari sana kwa amani yetu maana mtu anaweza kutuvuruga akarudi kwao sisi tukabaki na fujo.

Kwanza EAC tangu mwanzo nimeshaona inalega lega na si kwa sababu ya hili swala la uhamiaji bali ni kwa sababu maslahi binafsi ya kiuchumi ya nchi mojawapo kta jumuiya hii,kwanza kuna nchi moja moja ktk jumuiya hii wameshindwa kua na umoja ndani ya nchi,je wataweza nje yaani EAC? :thinking:
 
Ferd,umenena vyema hapo mwishoni mwa comment yako.Sasa kama hapa ni kwake kwanini aliondoka?

"I cannot go back to Tanzania even if they allow me to," she said as tears rolled down her face, "Tanzania is the only country I have known since I was born yet they treated me badly. Rwanda is not my country but so far they have treated me with decency. These are proper human beings. Although I left all my friends and relatives in Tanzania, I don't want to go back to that country." ... kama ingekua anajikubali kuwa mtanzania wala asingeiita "that country" angesema 'my country' tusikie kama anaiopenda kweli!

hii inaitwa cheap propaganda....,
 
Kwa hiyo, siku ambayo Muungano utavunjika, which will be, basi na Wapemba wote wakiwepo wale waliozaliwa huku Bara wafukuzwe fasta kwa sababu kimenuka?

nani kakuambia muungano utavunjika!!!!
 
Kwa hiyo, siku ambayo Muungano utavunjika, which will be, basi na Wapemba wote wakiwepo wale waliozaliwa huku Bara wafukuzwe fasta kwa sababu kimenuka?
EMT yawezekana kuna mapngufu katika utekelezaji. Sheria ya ya uraia ya 1961 ilihusu raia wa nchi ziizokuwa chini ya utawala wa Uingereza, na wao ilikuwa kama wakitaka ilibidi wachague kubakia na wa kwao au nchi waliomo. Hivo wale wa kutoka Burundi-Rwanda hawakuhusika. Pili uraia wa kujiandikisha unakomea kwa aliyejiandikisha na si vizazi vyake. Wataoto wanabidi waombe binafsi. Labda tubadilishe hivo vifungu. Pole waliokumbwa kwa kutojua taratibu za sheria. Sheria si lazima ifuate haki bali taratibu.
 
Back
Top Bottom