Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,229
- 10,299
Pamoja na hayo, with all due respect, tatizo linaanza pale tunapoanza kuitana wahamiaji haramu! Hawa ambao wote tulikuwa sehemu ya German East Africa! Msamiati huu hauna nafasi katika hii nchi ambayo ina makabila kibao ambayo yanaingiliana na yale ya jirani (wajaluo, wamasai, wanyasa, wahaya, wanyakyusa, wamakua n.k.). Inabidi tuanze kuangaliana kwa kuangalia utu wetu badala ya vikaratasi. Mazoezi kama haya hayakawii kugeuka ethnic cleansing na kutumiwa na waovu kama njia ya kukomoana na kujinufaisha dhidi ya wale tunaowaonea wivu...hiyo article imeandikwa na Andrew Mwenda, mwandishi aliyedai Salma Kikwete ni Mhutu.
..kwa msingi huo we have to take what ever he writes with a grain of salt.
..hili zoezi lina matatizo ya hapa na pale, na mfano ni hao jamaa ambao ni raia wetu lakini wamefukuzwa.
..pamoja na hayo, naamini serikali lazima ishughulikie zoezi hili la kutimua wahamiaji haramu. kinachopaswa kufanyika ni kuongeza ufanisi na umakini.
Amandla......