Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,874
- 11,340
Pamoja na hayo, with all due respect, tatizo linaanza pale tunapoanza kuitana wahamiaji haramu! Hawa ambao wote tulikuwa sehemu ya German East Africa! Msamiati huu hauna nafasi katika hii nchi ambayo ina makabila kibao ambayo yanaingiliana na yale ya jirani (wajaluo, wamasai, wanyasa, wahaya, wanyakyusa, wamakua n.k.). Inabidi tuanze kuangaliana kwa kuangalia utu wetu badala ya vikaratasi. Mazoezi kama haya hayakawii kugeuka ethnic cleansing na kutumiwa na waovu kama njia ya kukomoana na kujinufaisha dhidi ya wale tunaowaonea wivu...hiyo article imeandikwa na Andrew Mwenda, mwandishi aliyedai Salma Kikwete ni Mhutu.
..kwa msingi huo we have to take what ever he writes with a grain of salt.
..hili zoezi lina matatizo ya hapa na pale, na mfano ni hao jamaa ambao ni raia wetu lakini wamefukuzwa.
..pamoja na hayo, naamini serikali lazima ishughulikie zoezi hili la kutimua wahamiaji haramu. kinachopaswa kufanyika ni kuongeza ufanisi na umakini.
Yes, some of us are coming back to our senses.
Mkuu, toka mwanzo nimeaongea mambo yanavyokwneda ndivyo sivyo. Niliwambia mara zote mipaka inauhusiano wa kidamu pande za nchi zinazopakana. Kwa bahati mbaya yanayowahangukia bahadhi ya wanaoitwa wahamiji haramu mkoa wa Kagera sivyo. Watu wengi hapa jf wanachukulia jambo hilo kishabiki na mchanganyiko wahistoria za uongo na kweli kuhusu watutsi na jk na pk na huko Congo then wana-victimaze watu.
Watanzania maisha yamekuwa magumu such that rationale thinking ime evaporate.tumeshindwa kutafuta solutions kutokana na uongozi mbovu sasa tunakimbilia maamuzi ya ku deviate the situation ili mradi tu temporary numb mapungufu yetu. CCM imeamua hii issue only because inahisi anything else VOTES will be lostYes, some of us are coming back to our senses.
Mkuu, toka mwanzo nimeaongea mambo yanavyokwneda ndivyo sivyo. Niliwambia mara zote mipaka inauhusiano wa kidamu pande za nchi zinazopakana. Kwa bahati mbaya yanayowahangukia bahadhi ya wanaoitwa wahamiji haramu mkoa wa Kagera sivyo. Watu wengi hapa jf wanachukulia jambo hilo kishabiki na mchanganyiko wahistoria za uongo na kweli kuhusu watutsi na jk na pk na huko Congo then wana-victimaze watu.
Pamoja na hayo, with all due respect, tatizo linaanza pale tunapoanza kuitana wahamiaji haramu! Hawa ambao wote tulikuwa sehemu ya German East Africa! Msamiati huu hauna nafasi katika hii nchi ambayo ina makabila kibao ambayo yanaingiliana na yale ya jirani (wajaluo, wamasai, wanyasa, wahaya, wanyakyusa, wamakua n.k.). Inabidi tuanze kuangaliana kwa kuangalia utu wetu badala ya vikaratasi. Mazoezi kama haya hayakawii kugeuka ethnic cleansing na kutumiwa na waovu kama njia ya kukomoana na kujinufaisha dhidi ya wale tunaowaonea wivu.
Amandla......
Wewe huna nchi, na siasa zako peleka kwa wa'South', tuliowasaidia sana kwenye harakati zao za ukombozi, uone kama 'HUJATOLEWA BERENGE!'Tunatia aibu. Hawa tunaowaita "illegal immigrants" wametukosea nini? Hizi ni siasa za chuki, vindictiveness na xenophobia. Hazikutakiwa kuwa na nafasi katika nchi kama yetu.
Amandla.....
Wewe huna nchi, na siasa zako peleka kwa wa'South', tuliowasaidia sana kwenye harakati zao za ukombozi, uone kama 'HUJATOLEWA BERENGE!'
..Paul Kagame alikuwa raia wa Uganda lakini alirudi kwao Rwanda.
..sasa kwanini analazimisha hawa wenzake waendelee kuishi ukimbizini?
..Habyarimana naye alikuwa na mitizamo kama hii ya RPF na Andrew Mwenda. Alikuwa hataki kusikia habari ya Wanyarwanda wanaoishi ukimbizini kurudi kwao.
Tunatia aibu. Hawa tunaowaita "illegal immigrants" wametukosea nini? Hizi ni siasa za chuki, vindictiveness na xenophobia. Hazikutakiwa kuwa na nafasi katika nchi kama yetu.
Amandla.....
kum displace mtu ina fall katika crimes against humanity as per the geneva convention-hopefull kikwete will be answerable siku mmoja
Ni kweli watu wa huko wanajua machungu ya hao watu na tabia zao za ajabu. Wanamifugo mingi wanalisha mifugo yao kwenye mashamba, wanadharau isiyo kifani..hakuna mpaka ktk Africa ambao uko perfect.
..sasa ulitaka tusiwe na sheria za uhamiaji na uraia nchi hii?
..huu mpaka una matatizo ya usalama kutokana na VURUGU zilizoko kwa majirani zetu.
..raia halali wa Tanzania ktk mikoa hiyo wanateseka sana kutokana na hali hiyo.
NB:
..kuna kipindi Tume ya Prof.Wangwe ilikuwa inakusanya maoni kuhusu EA federation. wananchi wa mikoa ya Kagera na Kigoma ndiyo walikuwa more vocal kukataa fast tracking to integration. Their main concern ilikuwa ni hali ya usalama na mifarakano ya kikabila kutoka Rwanda na Burundi.
Pamoja na hayo, with all due respect, tatizo linaanza pale tunapoanza kuitana wahamiaji haramu! Hawa ambao wote tulikuwa sehemu ya German East Africa! Msamiati huu hauna nafasi katika hii nchi ambayo ina makabila kibao ambayo yanaingiliana na yale ya jirani (wajaluo, wamasai, wanyasa, wahaya, wanyakyusa, wamakua n.k.). Inabidi tuanze kuangaliana kwa kuangalia utu wetu badala ya vikaratasi. Mazoezi kama haya hayakawii kugeuka ethnic cleansing na kutumiwa na waovu kama njia ya kukomoana na kujinufaisha dhidi ya wale tunaowaonea wivu.
Amandla......
Nadhani kitu kimoja tunachokosea ni kuwahukumu wakimbizi kuwa wakimbizi maisha yao yote, wao na vizazi vyao. Ni lazima tukubali kuwa kuna baadhi hawatarudi kwao na tuanzishe taratibu za kuwaingiza katika jamii yetu. Mikmbizi ajue kuwa kuna njia iliyo wazi ya yeye kuwa raia wa nchi hii iliyompokea. Hata ulaya, mkimbizi akikaa muda fulani bila kuonyesha tabia mbovu na kuonyesha nia ya kuwa raia bora anapewa uraia. Leo kwetu tuna jeneresheni za wakimbizi ambao tukiona ni politically expedient kwetu tunawatimua. Tuwape nafasi ya kuwa raia wema na tuwachukulie hatua wale tu ambao wanaonekana hawana nia nzuri nasi. Tusiadhibu jamii nzima kwa makosa ya wachache baina yao.
Amandla......
Samaki mmoja akioza, 'SMOKE THE WHOLE BASKET!'
..hiyo article imeandikwa na Andrew Mwenda, mwandishi aliyedai Salma Kikwete ni Mhutu.
..kwa msingi huo we have to take what ever he writes with a grain of salt.
..hili zoezi lina matatizo ya hapa na pale, na mfano ni hao jamaa ambao ni raia wetu lakini wamefukuzwa.
..pamoja na hayo, naamini serikali lazima ishughulikie zoezi hili la kutimua wahamiaji haramu. kinachopaswa kufanyika ni kuongeza ufanisi na umakini.
wewe ngoja Muungano uvunjike in the not distant future-fall out yake-ICC will come callingUtter nonsense, and if it's an ideological problem, then we better leave it with those who have it and, may be, ...... Deal with it later!
..sasa ulitaka tusiwe na sheria za uhamiaji na uraia nchi hii?
Wewe huna nchi, na siasa zako peleka kwa wa'South', tuliowasaidia sana kwenye harakati zao za ukombozi, uone kama 'HUJATOLEWA BERENGE!'