Do you mean that you did NOT understand my question?
Mimi naona hatuna rais, tuna rais jina, sasa inakuwa vigumu hata vitengo vingine vya rais kuwapo, maana rais mwenyewe kutwa kupunga madogoli na ngoma, misiba, kuzurura.Kuzurura kwenyewe not only hana data, anakosa hata common courtesy ya kujua kwamba kama mtu kapewa floor na moderator hutakiwi kumuingilia (angalia video ya Davos). Aibu tupu.
Hatuna rais.
Sasa usitegemee huyu non-president akaenda kuweka mikakati ya ulinzi and all that jazz.
Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.
And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.