No. -1. Mimi Olecranon. Kazi: mlalahoi. Cheo: JF expert member. Hii thread haina tija kwani in general hata uliyeanzisha huu uzi unajua kabisa your question is very subjective. Ungesema ni nani yuko influential katika issues gani then ingeweza kueleweka vizuri.Weka Jina,Kazi,na Cheo chake.
Note:Sio upande wa siasa tu!
No.1
Dr.John P.Magufuli
President of the United Republic of Tanzania.
No.1
Edward Lowassa
Former Prime Minister of URT.
Nasib Abdul
Musician
Wasafi President
Bishop Kakobe
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
olecranon fossa umenifurahisha sana ndo hata Mimi nilitaka kumwambia hivyo hivyo!No. -1. Mimi Olecranon. Kazi: mlalahoi. Cheo: JF expert member. Hii thread haina tija kwani in general hata uliyeanzisha huu uzi unajua kabisa your question is very subjective. Ungesema ni nani yuko influential katika issues gani then ingeweza kueleweka vizuri.
Hainaga ushemeji tunakulaga...Mani Fongo