Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,893
- 132,222
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma kwenye ukumbi wa mikutano ya waandishi wa habari Bungeni, ambapo CAG, Ludovick Uttouh, anazungumza na waandishi wa habari, kuhusu ripoti yake.
Kubwa kuliko ni serikali, imelifungua lile fuko kuu la hazina lililoko Benki Kuu ya Tanzania, na kujitotea kutoka fuko hilo, Shilingi, Bilioni 5.8 bila idhini ya Bunge!.
Kwa lugha rahisi, ni serikali imejichotea fungu hilo na kujitafunia, yenyewe bila kuomba kibali cha wenye fedha zao!.
Kuchukua kitu bila ruhusa ni wizi, regardless umefanyia nini hicho ulichochukua, hivyo serikali yetu imeiba Shilingi Bilioni 5.8 zetu!.
Wakuu wa zile oversight commitee za PAC-Cheyo, LAAC-Mrema na POAC-Zitto wapo hapa kutueleza serikali yetu iliyafanyia nini mabilioni hayo?.
Endelea kufuatilia.
NB, nitaziaatach ripoti zenyewe soon.
Pascal.
Aliyeapishwa ni shujaa Nassari, japo wafuasi wake wengi wamezuiliwa kuingia humu mjengoni, kumbe ile sare ya Chadema ni marufuku bungeni!.Pasco Sioi ameapishwa, mbona hutupi taarifa.
Press conference inaendelea, CAG Ludovic Uttoh anazidi kumwaga madudu ya serikali katika matumizi ya fedha za umma!.
Kwa kawaida press conference haitakiwi kuzidi one hour!, saa hizi Utouh mwenyewe, ameshakata, one hour, hapa bado Cheyo, Mrema na Zitto!.
Ikipita saa saba mchana ambayo ni time ya lunch, CAG atawajibika kuwaangalia hawa waandishi utaratibu wao wa lunch unakuwaje, na ndio kwenye matukio kama haya, ule uhalali wa sisi waandishi wa habari nasi tuangaliwe!.
Kwa waandishi wanaoripoti bunge, nao hukaa muda ule ule kama wa mheshimiwa mbunge anavyokaa kwenye kile kiti chake!, tofauti ya kiti cha mbunge, kinanesanesa na kuzunguluka zunguluka kunakopelekea hata wabunge kusinzia, viti vyetu havinesi, havizungungu wala hatuwezi kusinzia!, hivi nasi si tunastahili kulipwa kama wenzetu?!.
Endelea kufuatilia ripoti ya ukaguzi!
Aliyeapishwa ni shujaa Nassari, japo wafuasi wake wengi wamezuiliwa kuingia humu mjengoni, kumbe ile sare ya Chadema ni marufuku bungeni!.
Baadae leo nitahudhuria tafrija ya bkumpongeza Nasari, nitaiwakilisha jf!
Mkuu tumbo kwanza siyo? Komaa upate habari ya kuandika mkuu vitu vingine vitafuata!Kwa kawaida press conference haitakiwi kuzidi one hour!, saa hizi Utouh mwenyewe, ameshakata, one hour, hapa bado Cheyo, Mrema na Zitto!.