LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
hehehe.... list ya ATM zao sio..
Wanaume JF wamejitokeza kwa wingi kuchangia kisa wao hawamo?!
Wanaume JF wamejitokeza kwa wingi kuchangia kisa wao hawamo?!
we mama wee, kwani ile ya pindi chana tulivyojitokeza ni kwasababu hatumo jamani??
unaanza kuniudhi swahiba
Ile wachuchu, wachumba, na vishtobe vyenu havikuonekana kwenye orodha, mkawa na hasira!
Duh! Hivi hiyo lugha ya "Kishtobe" kumbe bado relevant?