Tanzanians, show us your roads

Eti HATA TUJENGE VIPI???
Umepost pics gani humu mpaka uanze kukatisha wa Tz wenzako Tamaa. Traitor of the Nation!!!
Kaa kimya wanajeshi wapambane.
Wewe una kichaa cha mbwa mwitu asiyejua kuua kabla ya kula anafika na kuanza kula kabla hajaua. Tembea ujionee ndo uje umwage upupu humu. Kuna nchi zilipata uhuru wakati mmoja na TZ lakini sasa hivi utadhani zilipata uhuru miaka mia tano iliyopita sisi tumekalia ndiyooooo. Kaeni na ndiyo zenu mtajiju. Heri yao wanaochapana na kuuana kila kukicha lakini wanajiletea maendeleo kuliko sisi tunaosema kiswa cha salama wakati tunachinja watoto, albino na wazee tukisingizia amani.
 
Tunduma - Sumbawanga highway [225 km]


Korogwe - Mombo


78 km Peramiho - Mbinga


To Iringa:
 
Hapo Nairobi ndipo Ulitembea kupatA exposure sio??🤣🤣🤣
 
Hahaha!! umeenda kujificha na kuja na kamoja hako!? 🤣 🤣 🤣
Leta barabara za nchi nzima. Mimi nimekuletea all corners of Tanzania.
Tukianzia Turkana. Sema kutoka wapi kwenda wapi.
Kwani hujakua ukifuatilia thread wee malenge? Anzia mwanzo uone picha tulizoposti. Hivi vijibarabara viwili ulivyoposti ndivyo vinakutia kiwewe?
 
Kwani hujakua ukifuatilia thread wee malenge? Anzia mwanzo uone picha tulizoposti. Hivi vijibarabara viwili ulivyoposti ndivyo vinakutia kiwewe?
Pwahahaha. Mzee mimi nipiga kazi siyo kama wewe jobless 24/7 upo JF, JamiiForums.com and Nairaland.
From Nairaland.com


From KanyaTalk


From JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…