Tanzanians, show us your roads

Kwani unapoiba picha husomi kwanza ? Au Kuna eneo linaitwa hivyo kenya? Au Ndio wale wapiga chabo hadi jina la uliyepiga chabo 🤣🤣🤣🤣

View attachment 1098541

Haya, wacha nikupe ya Kenya sasa. Tena mashambani kule, sio mjini

46211851f2fc228114a8ddd7ebdbb98e
 
tuusan amekubali Kenya iko na barabara nyingi tarmarced kuliko Tanzania. Sasa mbona tubishane sana.
Toa taarifa kutoka chanzo cha uhakika kama nilivyofanya,mmezidi wizi hakuna hata mmoja mwenye kuleta data from reliable source kila mmoja wenu analeta vitu anavyowaza....mm nmeleta taarifa kutoka kwenye gazeti toleo maalum ninyi fanyeni hivyo tuende sawa,Kuhusu ubora naWashangaa sana mkisema zenu ni bora mnapimaje kupitia picha?
 
So even if we were to go with tuusan data,tanzania still trails kenya with 6000km-tanzania is twice the size of kenya.
 
Toa taarifa kutoka chanzo cha uhakika kama nilivyofanya,mmezidi wizi hakuna hata mmoja mwenye kuleta data from reliable source kila mmoja wenu analeta vitu anavyowaza....mm nmeleta taarifa kutoka kwenye gazeti toleo maalum ninyi fanyeni hivyo tuende sawa,Kuhusu ubora naWashangaa sana mkisema zenu ni bora mnapimaje kupitia picha?
Nyie reliable source yenu iko wapi? Si ni wewe uliyepost hapa kiblogi eti kusema Kenya 90% ya njia ni mbovu, hicho kiblogi ndio reliable source?
 
Toa taarifa kutoka chanzo cha uhakika kama nilivyofanya,mmezidi wizi hakuna hata mmoja mwenye kuleta data from reliable source kila mmoja wenu analeta vitu anavyowaza....mm nmeleta taarifa kutoka kwenye gazeti toleo maalum ninyi fanyeni hivyo tuende sawa,Kuhusu ubora naWashangaa sana mkisema zenu ni bora mnapimaje kupitia picha?
Do you really need to be an expert to say the first road in Kenya is of better quality than the second in Tanzania? Vitu zingine ni obvious buda.

46211851f2fc228114a8ddd7ebdbb98e-1

img_20181109_102119-jpg.1095866
 
Unacompare aje dualcarriageway na single lanes road?wewe ulienda shule gani
 
I am not comparing them, I am telling you the dual carriageway is obviously of superior quality because you asked what we use to determine the quality. Ours are bigger and better and marked.

Thank you for acknowedging they are incomparable though. Kwa hivyo wacheni kujilinganisha nasi maanake zetu ni bora na haziwezi linganishwa na zenu.
 
Back
Top Bottom