Tanzanians, show us your roads

Tuusan.- bado upo,bado nangoja unionyeshe mradi ambao sio verifiable kwa data niliyo kupa,uhuru barabara amejenga,hapo amejaribu sana.give credit where it is due.
 
Kwa iyo journalist wenu hawajielewi, upo sawa. sio journalist tu, hadi nyie wananchi
Wewe ndio hujielewi. Umequote kitu ila kuinterprete hujui. Journalist hana shida. Ndio maana nakwambia next time quote vitu unavyoelewa.
 
I am not comparing them, I am telling you the dual carriageway is obviously of superior quality because you asked what we use to determine the quality. Ours are bigger and better and marked.

Thank you for acknowedging they are incomparable though. Kwa hivyo wacheni kujilinganisha nasi maanake zetu ni bora na haziwezi linganishwa na zenu.
Unaugua bro,kama wafanya comparison weka vitu vinavyoendana....kizungu kingi sio suluhu
 
Wewe ndio hujielewi. Umequote kitu ila kuinterprete hujui. Journalist hana shida. Ndio maana nakwambia next time quote vitu unavyoelewa.
Hebu sema ww genious tofauti ya tarmac na paved roads ni nini, au ni samething
 
Unaugua bro,kama wafanya comparison weka vitu vinavyoendana....kizungu kingi sio suluhu

Si mmesema tulinganishe barabara? Sasa mbona mwaogopa tena? Nimekupa barabara ya ushagoo Kenya nikakwambia iko higher quality than za Tanzania ushagoo alafu unalalamika ni dual carriageway. FYI hilo la kuwa dual carriageway ndilo linaloifanya iwe bora zaidi ya zenu.
 
tuusan yani unasema, gari lako ni bora kuliko langu wakati uko na Toyota Axio na mie niko na Range Rover Vogue. Alafu nikishalete gari langu unaanza kulalamika eti yafaa nifanye comparison ya vitu vivyoendana wakati ni wewe uliyetaka mashindano. 😂 😂 😂
 
tuusan yani unasema, gari lako ni bora kuliko langu wakati uko na Toyota Axio na mie niko na Range Rover Vogue. Alafu nikishalete gari langu unaanza kulalamika eti yafaa nifanye comparison ya vitu vivyoendana wakati ni wewe uliyetaka mashindano.
Acha kumix madawa,hii Ni morogoro road from chalinze to Moro
tapatalk_1557774118926.jpeg
 
Acha kumix madawa,hii Ni morogoro road from chalinze to Moro View attachment 1098755
Quality yake sio mbaya vile ila za Kenya nyingi zimeishinda au kutoshana. Nyie barabara zunu nyingi sio quality poa vile.

Ona hapa tunavyojenga vitu kali mashambani. Tanzania unaweza pata interchange mashambani?

3wveaRA.jpg

Kisha angalia road furniture mashambani zilivyo.

DUJCYEpX0AMu9c0.jpg

Na hapa ni Northern Kenya - sehemu mnayopenda kuiponda eti haijadevelop.

CwukEhvXEAAlBq_.jpg
 
we jamaa bana eti quality sio mbaya . Okey
5401491256_6da0d2bc70_b.jpg
 
Masaa machache mmekua mkisema eti sisi tunapost za mjini mkituambia tupost za mashambani, sasa nashangaa inakuwaje mnarudi mjini wenyewe? Fimbo imewaingia ehee?

Linganisha hiyo na hii...........

ueYvYUm.jpg
47787945881_39c1fb19a0_z.jpg

46431001685_696206faab_o.jpg
I see a newly constructed road..good to you
 
That's how they are, they don't want us to post city roads lakini hao wanapost.
Masaa machache mmekua mkisema eti sisi tunapost za mjini mkituambia tupost za mashambani, sasa nashangaa inakuwaje mnarudi mjini wenyewe? Fimbo imewaingia ehee?

Linganisha hiyo na hii...........

ueYvYUm.jpg
47787945881_39c1fb19a0_z.jpg

46431001685_696206faab_o.jpg
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom