Tanzanian TV online

Tanzanian TV online

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,379
Reaction score
5,887
Leo katika kuperuzi kwangu kwenye Internet,nimeshangazwa na kusikitishwa kwa mwakati huu tulionao kuwa Tanznaia haina TV online,Niliona StarTV iko online lakini haifanyi kazi...

Sasa kwa bahati nzuri ikaona web site moja imeweka tv zote za dunia zilizokuwa online pamoja maskini tanzania haina Tv kwenye hii web site tumeshindwa na kinchi kidogo kama Gambia na Rwanda

Tv ya taifa ya Rwanda iko juu sana na iko safi.....hapo chini nimeweka link ya hiyo website iliyokusanya tV zilizo online

sasa wadau namba kuuliza kwanini Tanzania tuko nyuma hivi kweli TBC television ya taifa inashindwa kuwa online ili watanzania waliokiwa nje ya tanzania nao wafaidike na habari na tamaduni za nyumbani

Rwanda TV - Watch Live Online from Kigali, Rwanda in English | Free English Internet TV - Odyovi
 
Kweli mkuu Rwanda TV iko poa sana, image ni clear, ina sauti nzuri......hongera kwao.

TBC ni wakati wenu sasa kuhakikisha mnakuwa na online TV sio blah blah.
 
Leo katika kuperuzi kwangu kwenye Internet,nimeshangazwa na kusikitishwa kwa mwakati huu tulionao kuwa Tanznaia haina TV online,Niliona StarTV iko online lakini haifanyi kazi...

Sasa kwa bahati nzuri ikaona web site moja imeweka tv zote za dunia zilizokuwa online pamoja maskini tanzania haina Tv kwenye hii web site tumeshindwa na kinchi kidogo kama Gambia na Rwanda

Tv ya taifa ya Rwanda iko juu sana na iko safi.....hapo chini nimeweka link ya hiyo website iliyokusanya tV zilizo online

sasa wadau namba kuuliza kwanini Tanzania tuko nyuma hivi kweli TBC television ya taifa inashindwa kuwa online ili watanzania waliokiwa nje ya tanzania nao wafaidike na habari na tamaduni za nyumbani

Rwanda TV - Watch Live Online from Kigali, Rwanda in English | Free English Internet TV - Odyovi

Mbona kwenye cm imegoma...
 
Elimu, elimu, elimu.......mchawi mkubwa wa Tanzania.
Ndiyo maana wakuu wasio na elimu hawamvumilii mjuzi.
Wadhani Tido angekuwepo TBC leo ingekuaje?
 
Back
Top Bottom