Tanzanian son to play in FIFA World Cup 2010

Kichwa cha thread kinasema "Tanzanian son..." . Huyu si Tanzanian son kwa mujibu wa habari, kwa sababu whatever "Tanzanian son" is, huwezi kuwa Tanzanian son kama wewe si Tanzanian, na kwa mujibu wa habari jamaa alishaukana uraia wa Tanzania.

Labda mleta mada alikusudia kuandika "Tanzanian's son...". Big difference.

lakini si umeelewa?! deep down in him ni mbongo go west , go east
 
kama tungekuwa tunaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili labda angetufikiria lakini raisi wetu kasema tunataka kula kote kote wakati wageni wanaruhusiwa kula kote kote ha ha ha.
 
utajua ni huyo tu!!! wako wengi sana watanzania wanaocheza soka ulaya na mataifa mengine...wanaelewa yote kuhusu nchi yetu soka ni uganga na siasa tu.
 
aaaaah mbona kawaida sana?ok ana asili ya kitanzania ila atabaki kuwa m-denmark
na jina lake mbona kama la kule kusini yetu?
ni kama ya obama na wakenya

anyway "nusu m-denmark na nusu mtanzania"=wazazi
yeye ni m-denmark=mtaliga
 
ishaeleweka haina haja ya siasa na kimombo mana wengine kina mimi elimu yetu ni darasa la 4,kiingereza tunajua neno mbili tu yes na no.
 
lakini si umeelewa?! deep down in him ni mbongo go west , go east

Kama umesoma vizuri post yangu hapo juu utaona sijaelewa, na ninauliza / kukisia tu.

Mtu ambaye si raia wa Tanzania, zaidi ya hapo ambaye kashakana haki yake ya kuchukua uraia wa Tanzania, atakuwaje "Tanzanian son" ?

Mbona mnapenda kuwakumbatia sana watu waliowakana?

Doesn't one need to be Tanzanian in order to be Tanzanian anything?

This guy is a Dane of Tanzanian descent, I will give him that. He may be a son of a Tanzanian, but he is no "Tanzanian son". He may be "Tanzanian's son" but that does not make him Tanzanian therefore he cannot be "Tanzanian son".

Akitaka kuja bongo m-Deni huyu anakuja kwa visa kama Anna Bard.

Mimi simtambui kama "Tanzanian son", labda "Tanzanian's son". If you don't know the difference grab a book or something.
 
... Jamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi

... Hivyo nasi basi tutawakilishwa japo na mchezaji mwenye asili yetu kule Bondeni.

Amua moja, kama uraia wa Tanzania ni nuksi nisingetegemea ufagilie asili yake na kujipendekeze kutuambia kwamba tuna mchezaji mwenye asili yetu kombe la dunia.

Unasaliti fahari ya Mtanzania. Na huyo mchezaji si mtoto wa Tanzania, usitutafutie ndugu wa kuungaunga, mtafute akusainie kitabu cha kumbukumbu, mnywe chai na mengine.
 
Hivi mnaona Utanzania ni kitu kama cha bure bure tu eh? Huyo mchezaji hana uraia wa Tanzania period! Sisi sio kama Nyang'au. Labda waje kina Koba au Smatta ambao hata kwao hawataki kurudi ... ... hawana asili ya kujivunia kilicho chao hawa wakimbizi wana matatizo sana wataemdelea kukimbia hadi kiama.
 
= Kiranga Kama umesoma vizuri post yangu hapo juu utaona sijaelewa, na ninauliza / kukisia tu.

Mtu ambaye si raia wa Tanzania, zaidi ya hapo ambaye kashakana haki yake ya kuchukua uraia wa Tanzania, atakuwaje "Tanzanian son" ?

Mbona mnapenda kuwakumbatia sana watu waliowakana?

Doesn't one need to be Tanzanian in order to be Tanzanian anything?

This guy is a Dane of Tanzanian descent, I will give him that. He may be a son of a Tanzanian, but he is no "Tanzanian son". He may be "Tanzanian's son" but that does not make him Tanzanian therefore he cannot be "Tanzanian son".

Akitaka kuja bongo m-Deni huyu anakuja kwa visa kama Anna Bard.

Mimi simtambui kama "Tanzanian son", labda "Tanzanian's son". If you don't know the difference grab a book or something.
Hizi ni sheria na siasa za wazungu, huyu dogo ana damu ya Mtanzania ni mwana wa Tanzania period, akiamua kutembelea kwao huku watampokea kama mwana wao, masuala ya ataingia na visa ni sababu ya sheria walizoturithisha wazungu, na akili mbovu za viongozi wetu, watu wengi sio kwamba wanataka kuukana Utanzania ila ni vigumu kwa mtu mwenye nafasi ya uraia wa Magharibi kumlazimisha achague raia moja.
 
Baada ya Kenya kumtoa mchezaji wa kwanza kucheza UEFA na sisi tumemtoa mchezaji wa kwanza 'mtanzania' kucheza Kombe la dunia la FiFA. Go go Mtiliga!

Gonga hapa:Patrick Mtiliga - Wikipedia, the free encyclopedia

14397.jpg

Patrick Mtiliga

  • Squad No: 19
  • Position: Defender
  • Age: 29
  • Birth Date: Jan 28, 1981
  • Birth Place: Copenhagen, Denmark
  • Height: 5' 7" (1.71m)
  • Weight: 139 lbs (63 kg)
Teams

PATRICK MTILIGA

Something of a surprise name to be included in the final 23-man Danish World Cup squad, boss Morten Olsen picked left-back Mtiliga after a season if improved performances at club level in Spain.
After making his national team debut against Wales back in November 2008, this Copenhagen-born star was omitted from future squads and played no part in the 2010 World Cup qualifying push. Then he suddenly returned on the eve of the finals, with his place on the plane to South Africa confirmed by boss Olsen amid plenty of questions. "I like the way Patrick has taken himself to another country and performed well in a top league," he says of the defender who quit Dutch club NAC Breda in favour of a move to Malaga last summer. "You need players who are used to playing at a high level and that is what we have in Patrick."

Patrick Mtiliga Bio, Stats, News - Team Denmark - FIFA World Cup - ESPN Soccernet
 
Patrick Jan Mtiliga (born 28 January 1981) is a Danish professional footballer, who plays for Spanish club Málaga CF in La Liga. He is a defender, who is most frequently used as a left fullback. He has played three games for the Denmark national football team

Patrick Mtiliga was born in Copenhagen to a Danish mother and Tanzanian father.[1] He started playing youth football for Copenhagen club Boldklubben 1893 (B 93). He initially played as a forward or attacking midfielder. He made his senior debut for B 93 in the 1998-99 Danish Superliga season. After 13 league games for the club, he moved abroad to join Dutch club Feyenoord Rotterdam in the Eredivisie championship in the summer 1999.[2]
 
Attachments

  • aca601b029ca4e27b31cdfed0f3dd4cf_1cada.jpg
    aca601b029ca4e27b31cdfed0f3dd4cf_1cada.jpg
    30.6 KB · Views: 56
  • 0910_gfichajes_08mal_mtiliga.jpg
    0910_gfichajes_08mal_mtiliga.jpg
    41.7 KB · Views: 52
Patrick Jan Mtiliga (born 28 January 1981) is a Danish professional footballer, who plays for Spanish club Málaga CF in La Liga. He is a defender, who is most frequently used as a left fullback. He has played three games for the Denmark national football team

I don't see him being described as Tanzanian there. Watu kutaka kuvuna msichopanda tu. Get your own genuine Tanzanian team up in there.

Jamaa kakataa uraia wa Tanzania, bado watu wanamuita mTanzania tu!
 
Hizi ni sheria na siasa za wazungu, huyu dogo ana damu ya Mtanzania ni mwana wa Tanzania period, akiamua kutembelea kwao huku watampokea kama mwana wao, masuala ya ataingia na visa ni sababu ya sheria walizoturithisha wazungu, na akili mbovu za viongozi wetu, watu wengi sio kwamba wanataka kuukana Utanzania ila ni vigumu kwa mtu mwenye nafasi ya uraia wa Magharibi kumlazimisha achague raia moja.

Sheria ya uraia ya Tanzania ni ya wazungu?

Hata kama utakuja na some dilapidated audacity ya kutetea kusema hivyo.

Kama ni sheria na siasa za wazungu, msitumie lugha zao kuelezea "sheria na siasa" zenu ambazo hazielezeki kwa lugha zao.

Huwezi kumuita mtu "Tanzanian son" wakati mtu hana hata uraia wa Tanzania. Huku ndiko kunaitwa kupapatikia watu.

Mimi simtambui huyu kama "Tanzanian son", labda "Tanzanian's son". Big difference.

JF Kennedy is credited with having said "Victory has a thousand fathers, defeat is an orphan". Mtoto huenda alitaka kuwa na uraia wa Tanzania lakini sisi hatutaki mtu hata kuwa na uraia wa mama yake. Mtu akija kupata mafanikio, tunampa Utanzania wa jumla jumla tu mitaani.

Si Mtanzania huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom