tanzanian professors

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
18 Tanzanian professors were called to sit in an airplane. When they all sat and the plane was about to take off, they were informed that the plane was made by their own students..... they all quickly ran out of the plane leaving one man who was sitting confidently. Onlookers asked him why he was still in the airplane. He said: if indeed this airplane was made by our students, trust me it wont even start!

kwa jokes zaid mwaweza zichek frank johnson jokes/ ENJOY JOKES
 
hahahahahahaha uwiiiii,nafwaaaa!hahahahahahah heee!Hii kiboko!Hasa ya huyo aliyebaki kwenye ndege!
 
HahahahahahahaHahahahahahahaHaha...........that why kila asubuhi kabla sijaenda job lazima nipitie huku nichangamshe kichwa kidogo kwa kucheka
 
Wala si ajabu. Kama wanafunzi wenyewe ndo hawa, hamna kuumiza kichwa

ya+bwatta.jpg
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Niliwahi kupata kazi ya kufudisha chuo kikuu kimoja, nikamweleza rafiki yangu mmoja mhadhiri katika chuo hicho kwamba imepata nafasi ya kufundisha lakini sijui nitajipangaje maana nina kazi fulani zitanifanya niwe mikoani kwa zaidi ya wiki mbili. Unajua alichonijibu? "Wee waachie assignment tu. Wanafunzi wa chuo kikuu hawahitaji kufundishwa, wanahitaji kufaulu tu" mwisho wa kunukuu wakuu.
 
hio ni kweli ipo asa kwenye vyuo vyetu vya uku Africa,lakin Asia na Ulaya wanajitaid kufundisha sana sio vya kwetu uku
 
Back
Top Bottom