Tanzanian made clean animations

f68c43e0c81f17a42a2475caef4fc272.gif
 
Kwa iyo umetengeneza moja au na umetengeneza kwa kujifuraisha au biashara kazi nzuri ila sijui target yako vijana uwaga mnafail kwenye marketing na amini ungepata marketing advise ungefanya vema kama kirikuu
 
Habari mkuu, ni series inayoendelea hii mkuu. Na hapana hatufanyi kujifurahisha (ndio tunapenda tunachofanya) lakini tuna mpango wa kibiashara nyuma yake.
 
Nakushauri acha kukurupuka tengeneza market platform kwanza
Mkuu, tumesubiri for two years. Initial concept started 2years back, nna hakika ukisearch "animation, tanzania" humu utaona hizo posts. Sidhani kama tumekurupuka. Its now time for action dont you think. Pia share nami mawazo yako, ni moja ya sababu nimeleta huku pia hii kitu. Would love to hear your perspective and approach!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom