VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 402
- 539
Nimekaa nikajiuliza kwanini nchi zilizokuwa tajiri hapa duniani zinatumia pesa nyingi sana kujihimarisha kijeshi.Hakika hizi nchi sio wajinga kutumia mabilioni ya fedha za walipa kodi wao kutengeneza zana za kisasa za kivita.Ndio hapo nikatafakari sijui ni mwaka gani nchi yetu na sisi tutakuwa na carrier strike group ambayo ndani mwake kuna aircraft carrier yenye uwezo wa kubeba ndege vita 90,destroyers,cruiser,nyambizi,pamoja na meli za kusupply mizigo.Na tukiwa nayo tutaita Carrier strike group Nyerere.