Urusi sasa ni no fly na no fleet zone

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,571
35,472
BASTION SYSTEM K-300P AND ONYX MISSILE P-800 BLOCKS BARENTS AND BLACK SEA.

Nchi ya Urusi kwa sasa inajivunia mordernization ya silaha zake.

Tumeshuhudia silaha mbalimbali zikiboreshwa ikiwa ni pamoja na makombora ya kujilinda dhidi ya ndege na makombora,silaha hizo ni S 300,S 400 na S 500.

Sasa Urusi inajivunia silaha nyinginge mpya na zilizoboreshwa, za kuangamiza na kuteketeza kabisa aina yoyote ya silaha za majini, yaani meli vita na vyombo vinginevyo vipitavyo ndani ya maji,yaani meli vita,nyambizi na air craft carriers n.k

Silaha hizi ni" K-300P "Bastion system", hii ni coastal missile system with supersonic cruise missiles P-800 Onyx.

Silaha hizi zimesababisha black sea na Barents sea kuwa ni Dead zone.
Rais wa Urusi alisikika akisema kwa majivuno kabisa kuwa" hakuna nchi nyingine yeyote yenye silaha kama hii.na kua silaha hizi zimefanaya melivita za US na NATO zikome kabisa kupita katika bahari nyeusi."

P-800 ina speed ambayo rada ya kisasa kabisa haiwezi kuiona na inapita mita chache kabisa kutoka usawa wa bahari nakupiga malengo.

Msemaji mmoja wa Urusi alikaliliwa akisema "hakuna mashindano ya silaha kali, isipokua haya ni majibu ya kile kinachoendelea duniani kwa sasa.

Chanzo: Pravda english,Sputnik news,
The Northern Fleet of the Russian Federation has deployed two batteries of state-of-the-art K-300P "Bastion" coastal missile systems with supersonic cruise missiles P-800 "Onyx" on the Kola Peninsula. The appearance of these weapons ensures the protection of 1,500 kilometers of the Russian coast from possible landing attacks and creates a 300-kilometer "dead zone" for NATO ships in the Barents Sea.

"Bastion" (NATO reporting name SS-C-05 Stooge) is one of the latest know-hows of the Russian army. The weapon was unveiled to the public for the first time in a documentary by Andrei Kondrashov "Crimea. The Way Home."

Commenting on the appearance of the complex in the documentary, Russian President Vladimir Putin proudly stated: "No one else has this weapon." According to him, it was "Bastion" that stopped both the United States and NATO from deploying their warships in the Black Sea. In addition, the appearance of the Russian system in the Syrian army also prevented a possible intervention of US and NATO navies in the civil war in Syria. The Pentagon and the EU did not risk to send their ships to the Syrian coast because of the danger of being attacked by the weapon that can overcome all modern air defense systems, the Izvestia newspaper wrote.

One battery of "Bastion" complex consists of 12 launchers on the basis of the Belarus-made tractor MZKT-7930, the body of which houses two transport-launch containers with supersonic anti-ship "Onyx" cruise missiles. Each missile carries a 290-kilogram warhead. The warhead was developed by engineers of the nuclear center in Sarov. Although this is an just an ordinary bomb, only two or three P-800 "Onyx" missiles will be enough to sink a frigate class ship . Five "Onyx" missiles can sink an aircraft carrier. The complex is out of reach for deck aircraft as it is deployed at considerable distances from the coastline. It takes only five minutes to deploy the system. When deployed, the complex is ready for use immediately and remains fully operational for up to five days, depending on fuel stocks.

A P-800 missile develops the speed that makes it practically invisible for modern radars. In addition, the missile performs intensive maneuvers as it approaches the target. It can thus be noticeable at the time when doing something to intercept the missile is already impossible. To crown it all, this supersonic missile flies just a few meters above the water surface as it approaches the target. The missiles maneuver actively changing the direction of the flight to confuse enemy radar stations. Most importantly, the missiles work together.

Spokespeople for the Engineering Corporation in Reutov, where the missiles were created, said that P-800 missiles were endowed with artificial intelligence akin to human intelligence. The missiles classify and distribute targets themselves; they choose the tactics and the plan for the attack to destroy the target.

Vice President of the Russian Academy of Geopolitical Problems Vladimir Anokhin told Pravda.Ru that Russia has been using Bastion systems in the Black Sea for a long time already. Captains of US Navy warships, when they enter the Black Sea, know that they find themselves in the zone of the Russian anti-ship systems. "Figuratively speaking, they see a sight mark on their foreheads. The fact that Russia has strengthened the defense group in the Barents Sea comes absolutely local against the background of NATO's actions in recent years," the expert said.

Vladimir Anokhin believes that Russia should take similar measures in the Far East. According to our expert, it would make Japanese, South Korean and, possibly, American politicians, nervous.

"There is no arms race, - said Anokhin. - There is an adequate response to what is happening in the world." Pravda.Ru

- See more at: Russia's Bastion systems and Onyx missiles block Barents and Black seas
 
Haahaa!
Even a magician runs out of ricks; sasa sijui Marekani aje na mbinu ipi kuhadaa dunia.
Malcom,
Na mimi napenda kusema kuwa sina ushabiki wa east na west ila napenda kuwafahamisha watu wasiojua, machache ninayoyajua kuhusu Urusi kwa wale waliolishwa propaganda kua Urusi si lolote si chochote,watu wana sikia mengi sana kutoka Us na west lakini hawana uelewa wowote kuhusu Russia.Hivyo ni wajibu wa wewe na mimi tuwaeleweshe.Kuna watu wanaaminishwa kua eti Urusi ni nchi masikini,na kua inaweza kupigwa tu kama ilivyopigwa Iraki.
 
Malcom,
Na mimi napenda kusema kuwa sina ushabiki wa east na west ila napenda kuwafahamisha watu wasiojua, machache ninayoyajua kuhusu Urusi kwa wale waliolishwa propaganda kua Urusi si lolote si chochote,watu wana sikia mengi sana kutoka Us na west lakini hawana uelewa wowote kuhusu Russia.Hivyo ni wajibu wa wewe na mimi tuwaeleweshe.Kuna watu wanaaminishwa kua eti Urusi ni nchi masikini,na kua inaweza kupigwa tu kama ilivyopigwa Iraki.

Haaahaaa,
Eti Urusi nchi maskini,
Yani NASA hadi leo wanaitegemea URUSI utasema ni nchi maskini kweli?
Daah huwa nasikitika sana.
 
Bila kumuona Elungata hapa hapajanoga bado ila huyu Mrusi inabidi tumtafutie Dunia yake ya kuishi.
Mkuu hawa jamaa wana hazina kubwa sana ya watu wenye akili ikiwa ni pamoja na wanasayansi,na ni watu wasiokata tamaa.kwa nchi kama Urusi inaona ni bora ijenge kwanza jesi lake baadae ndio ijenge uchumi.Kama sio hivyo Yankee watawavamia wakati wowote ili wapate ubwete wa kuitawala dunia.
 
Haya warusi wawili endeleeni kupiga story zenu.
Mkuu Habari za week end?
Aisee Marekani wanataka kuweka mtambo wa kudungua makombora nchini Poland na rada nchini Cheks ili kujilinda dhidi ya makombora ya nchi ovu za Irani na Korea Kaskazini. Unaikumbuka habari hii?
 
Mkuu Habari za week end?
Aisee Marekani wanataka kuweka mtambo wa kudungua makombora nchini Poland na rada nchini Cheks ili kujilinda dhidi ya makombora ya nchi ovu za Irani na Korea Kaskazini. Unaikumbuka habari hii?[/QU
Iran na Korea Kaskazini zinaonekana kuwa nchi ovu kwa mtazamo wao wamarekani na maswahiba wake. Lakini kwa nchi zingine, Iran na Korea ya Kaskazini ni nchi washirika.
 
So Urusi sasa Ni no fly zone na no fleet zone? Unaruhusiwa ushabiki ila acha uwongo wa dhahiri. Anyway, anachofanya mrusi sasa kwa wamarekani inaonyesha kuwa anatamani mechi hiyo ya kirafiki na wamarekani. Naona si muda mrefu sana atapewa hiyo nafasi.
 
BASTION SYSTEM K-300P AND ONYX MISSILE P-800 BLOCKS BARENTS AND BLACK SEA. Nchi ya Urusi kwa sasa inajivunia mordernization ya silaha zake,
Tumeshuhudia silaha mbalimbali zikiboreshwa ikiwa ni pamoja na makombora ya kujilinda dhidi ya ndege na makombora,silaha hizo ni S 300,S 400 na S 500.
Sasa urusi inajivunia silaha nyinginge mpya na zilizoboreshwa, za kuangamiza na kuteketeza kabisa aina yoyote ya silaha za majini, yaani meli vita na vyombo vinginevyo vipitavyo ndani ya maji,yaani meli vita,nyambizi na air craft carriers n.k
Silaha hizi ni" K-300P "Bastion system", hii ni coastal missile system with supersonic cruise missiles P-800 Onyx.
Silaha hizi zimesababisha black sea na Barents sea kuwa ni Dead zone.
Rais wa Urusi alisikika akisema kwa majivuno kabisa kuwa" hakuna nchi nyingine yeyote yenye silaha kama hii.na kua silaha hizi zimefanaya melivita za US na NATO zikome kabisa kupita katika bahari nyeusi."
P-800 ina speed ambayo rada ya kisasa kabisa haiwezi kuiona na inapita mita chache kabisa kutoka usawa wa bahari nakupiga malengo.
Msemaji mmoja wa Urusi alikaliliwa akisema "hakuna mashindano ya silaha kali, isipokua haya ni majibu ya kile kinachoendelea duniani kwa sasa.


Source: Pravda english,Sputnik news,
U can mess with the Russians but u can't mess with "Putin"
 
Back
Top Bottom