Tanzanian inflation rate rises to 10.9%

Msema hovyo

Senior Member
Jul 3, 2011
195
86
Hii ni kwa mjibu wa blog ya Subira, link ipo hapo chini. Mwenzake Mkapa alipunguza inflations kutoka 14% aliyoiacha Mwinyi hadi kufikia 4% wakati anaondoka madarakani. Naona Kikwete sasa kaamua kuipandinsha tena kutoka 4% had 11%. Hadi atakapoondoka madarakani naamini itakuwa imepita hata ile ya Mwinyi. Hili kweli ni Janga la Taifa.
jisomee mwenyewe hapo chini.

Tanzania's inflation accelerated to 10.9 percent in June, the fastest pace in 14 months, on higher energy and food costs, the National Bureau of Statistics said.
[FONT=verdana !important]
The inflation rate rose from 9.7 percent the month before, the bureau said in a statement handed to reporters in the commercial capital, Dar es Salaam, today. Energy prices jumped 29 percent over the 12 months.[/FONT]


[FONT=verdana !important]Food prices increased 11.7 percent in June from the same month last year, compared with an annual increase of 10.1 percent in May, according to the statement. Rising food costs have helped push inflation above 10 percent in neighboring Uganda and Kenya this year.[/FONT]

source: Tanzanian Inflation Rate Rises to 10.9% - Wavuti
 
Nyerer alijenga na mkapa akajenga, mwinyi alizingua na JK anazingua.
compare and contrast these leaderships!
 
Nyerer alijenga na mkapa akajenga, mwinyi alizingua na JK anazingua.
compare and contrast these leaderships!
Nikisema nitaambiwa mdini, lakini kusema ukweli huu upande wa pili wa shilingi naona umechemka ile mbaya. Tuombe Mungu next president awe mkristo angalau aboreshe kidogo hali zetu maana hawa wenzetu naona kila wakiingia wanafanya kazi ya kuharibu tu.
 
Back
Top Bottom