Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,308
Mtani ujue nina machungu ya jana hapa.Hawa wezi itakuwa ni wa DAIMA MBELE....................................... 😂
Ila nafikiri yataisha kesho. 😎😎
Mtani ujue nina machungu ya jana hapa.Hawa wezi itakuwa ni wa DAIMA MBELE....................................... 😂
Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani 😀Mtani ujue nina machungu ya jana hapa.
Ila nafikiri yataisha kesho. 😎😎
Sidhani Mtani. Nadhani nitapata ahueni.Aisee siyo kwamba kesho yataongezeka? yani nakuonea huruma mtani wangu sijui kesho utakuwa na hali gani 😀