Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu kuna watu bado wnatuambia kwamba eti tusizalishe MW 2000 zaidi kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Nasikia kwenye gas tunatumia less 10%Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu kuna watu bado wnatuambia kwamba eti tusizalishe MW 2000 zaidi kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Usilinganishe nchi ya Taiwani na nchi ya ajabu ajabu..... tafuta nchi kama Malawi Burundi au Zambia ndo ufanye ulinganisho wa maana.
Kweli Sauli umekuwa Paulo sasa. Hebu wauliza CCM miaka hamsini na saba(57) ya kuiongoza hii nchi mbona wamezalisha umeme wa MegaWatt 1500 tu?Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Naunga mkono hoja. Wenzetu wamewekeza kwenye brain za watu wao ndyo maana wamepata maendeleo kwa kasi.kwa upande wetu huku africa tumekaririshwa kuamini kuwa rasilimali ni zilizopo ardhini pekee, kumbe rasilimali watu waliopikwa vizuri wakapikika ndyo rasilimali yenye thamani zaidi kuliko hta hyo madini na mafutaTaiwan is a barren rock in a typhoon-laden sea with no natural resources to live off of — it even has to import sand and gravel from China for construction — yet it has the fourth-largest financial reserves in the world. Because rather than digging in the ground and mining whatever comes up, Taiwan has mined its 23 million people, their talent, energy and intelligence — men and women. I always tell my friends in Taiwan: “You’re the luckiest people in the world. How did you get so lucky? You have no oil, no iron ore, no forests, no diamonds, but you are wealthier.
Unaanza vizuri unamalizia vibaya?Kama ni hivyo hapo sasa tuko pamoja na JPM 🙂
Ndio hivyo Msigwa ameandika kule Twitter kuwa ni uzushi tu wa mtandaoni, JPM hajawahi kusema kitu kama hicho. kama unaingia Twitter nenda kwenye page ya Gerson Msigwa utaona. Ametolea maelezo mazuriKama ni hivyo hapo sasa tuko pamoja na JPM 🙂
Adui namba 1 CcmJana PM Majaliwa aliomba mradi ulindwe maana kuna maadui wa ndani na nje hawataki ukamilike
kiufupi tunawajua maadui wa nchi hii
MW 2000 zinapatikana from gas pia.Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Kama wao wana moyo mbona wao waliwaua wanyama wote ili kujiletea maendeleo yao?Tanzania tuko zaidi ya watu milioni 45, ukubwa wa nchi yetu ni km² 945, 087 (laki 9), Taiwani wako milioni 23, ukubwa nchi ya Taiwani km² 36,179 (elfu 36), Mkoa wa Arusha una km² 37 000 (elfu 37)!
Tanzania yetu inazalisha umeme < 1 500 Megawatt wakati Taiwani inazalisha 48 480 MW.
Fikiria hiyo tofauti sisi MW 1500 vs Taiwani MW 48 000, halafu sisi tunakimbizana na vimegawatt 2000 na bado kuna watu wanataka kutushika mashati kwamba tusijenge hata hizo 2000 tusizalishe kwa sababu ya Wanyama, nasema mwambie huyo Muzungu wako aje kuchukuwa hawa Wanyama awapelelke kwao hatuwahitaji tunataka Umeme, ...
Taiwan is a barren rock in a typhoon-laden sea with no natural resources to live off of — it even has to import sand and gravel from China for construction — yet it has the fourth-largest financial reserves in the world. Because rather than digging in the ground and mining whatever comes up, Taiwan has mined its 23 million people, their talent, energy and intelligence — men and women. I always tell my friends in Taiwan: “You’re the luckiest people in the world. How did you get so lucky? You have no oil, no iron ore, no forests, no diamonds, but you are wealthier.