Tanzania yaula OACPS

Tanzania yaula OACPS

Nipe mifano ya nchi zilizoendelea kwa kutegemea foreign aids nami nitakupa mifano ya nchi zilizodumazwa na dependency syndrome!
Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi.

Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia.
 
Swala hapa ni uaminifu, matumizi sahihi ya fedha za misaada na uchaguzi sahihi wa miradi.

Kuna nchi zilikua maskini ila walijikwamua kwa kuzingatia hayo hapo juu. I.e Malaysia.

Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another.
 
Kupokea foreign aid is one thing na utegemezi wa foreign aid is quite another.
Tanzania tumekuwa tegemezi wa misaada kwakua tunakosa mambo niliyoyataja hapo awali.

Hatupaswi kuendelea kutegemea misaada.

Na hatujachelewa kuacha utegemezi hata sasa tunaweza fanya hivyo kwa kuzingatia hayo niliyoyataja.

Bila kufanya hivyo tutakuwa dampo la misaada na masharti ya wazungu.

Na viongozi wetu watakua wanashindana kujipendekeza kwao ili maisha yetu yaende.
 
Kila unapogeuka unasikia harufu ya dili kila mahala ni dili hakuna kitu hapo .
 
Madini yanawekwa rehani mno.

Rasilimali kama madini yanauwezo wa kujichimba yenyewe bila kupata tuhela twa ajabu.
 
Back
Top Bottom