Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
tusitegemee wafu kutatua matatizo yetu kilichopo ni sisi kuacha ubinafsi na kuangalia taifa mbele kuliko kufanya ujuaji kila sehemu na matokeo yake mnachemka kotekote..
bayi kina juma ikangaa wanapashwa kujitolea zaidi nakuacha kujuana ili tufike mbali zaidi hongera babu wa zamani kule mexico..
Ndani ya ccm hakuna mtu anayefikiria juu ya maslahi ya nchi, kila mmoja anafikiria maslahi ya tumbo lake kwanza.
Anthony Mtaka Chiganga ambaye alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa RT katika mazingira ya utata amethibitisha kuwa chama cha riadha nchini bado hakijapata viongozi wenye vision na wanaoujua mchezo wa riadha.
Kwa akili ya kawaida kabisa si jambo rahsi kwa kiongozi kuwahi moscow ilihali wanariadha wamebaki nyuma. Na haiingii akilini RT kupeleka moscow lundo la viongozi huku wanariadha wakiwa wawili tu. Lakini hii yote inawezekana tu kwa muono wa wachumia matumbo wa ccm.
Umenena jambo jema ndetichia.
lazima mwenyekiti atakuwa amekwenda na kimada au nyumba ndogo maana wabongo na mchezo wa kiunoni nadhani ungekwepo huko urusi tungezoa mi gold ya kufa mtu
Usije shangaa kuambiwa wachezaji hawakwenda kwa kukosa nafasi...
RT inamfaa Wihelm Gidabuday hawa kina mtaka ni wachumia tumbi tu
Ndiyo ufisadi wa Tanzania, na udhaifu mwingi huu kila kitu bora liende tu!!1
Leo ni leo mchana huu jijini Moscow, Urusi ni siku ya Tanzania kupata medali kama wakimbiaji wetu wataweza kumaliza mbio za marathon kwa kutumia muda ulio chini ya rekodi zao binafsi: Mohammed Ikoki Msandeki masaa 2: 11: 01 na Faustine Mussa masaa 2: 13: 02. Ikumbukwe kuwa wakimbiaji wenye muda bora zaidi na ambao kama rekodi zao zilivyo mfano toka Ethiopia ni Tsegay KEbede masaa 2 : 04: 38 Feyisa Lilesa masaa 2: 04: 52 na Kenya Nicholas Kipkemboi ni masaa 2: 06: 03. Wakimbiaji hawa toka Ethiopia na Kenya watatoa changamoto kubwa kwa wakimbiaji wetu kutokana na rekodi zao kuonesha wanaweza kukimbia kwa kasi zaidi lakini katika marathon lolote linaweza kutokea na Tanzania kurudi na medali. Source: Marathon Startlist - 14th IAAF World Championships | iaag.org