Nilipoona kichwa cha habari nilifurahi nikifikiri tumepata medali!
Usije shangaa kuambiwa wachezaji hawakwenda kwa kukosa nafasi...
aibu kubwa.wana jf tujitolee kupigia makelele huu mchezo hadi urudi kwenye heshima yake jamani.hivi hawa kina Bayi kama wao wangefanyiwa hivi enzi zao wangekuwa hapo walipo?najisemeaga kuwa mwalimu Nyerere akifufuka akakuta Tanzania yake aliyoiacha ilikopelekwa na wale aliowapika mwenyewe,ataanguka hapo hapo na kuvuta tena.kuna madudu ya hatari katika chama cha riadha Tanzania.