Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

Trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia Pemba na Unguja wanapewa ngapi?​

 
Ule mradi wa kuboresha barabara za Dar uliishia Temeke? Ukonga kumeoza
 
Dah๐Ÿค”..Mungu๐Ÿ™ibarik tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Si leo nimesikia mahala kuwa Ujerumani wameonya kuhusu mikopo ya China kuwa ni hatari na China wakajitetea kuwa wanawasaidia Masikini.

Nahisi kuna mambo Masikini hatutakiwi kuelewa sana, ni kupokea tu tutajua huko mbele ya safari.
 
Kama Kuna uwezekano wa kukopa kopa tu hakuna kuogopa ili mradi zinajenga nchi hata Marekani inakopa sembuse Tanzania
 
Hii barabara ya mingoyo masasi niya muda mrefu sana imechakaa sana pia ni nyembamba sana.

Naomba serikali hiyo hela ziende huko mapema sana zikaanze kuifanyia kazi barabara hiyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
30% za mkopo huu ni vyema zipelekwe katila nchi ya Zanzibar, kwa kuwa nao ni sehemu muhimu ya uwepo wa JMT.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hii mikopo huko inapoelekezwa ndio tatizo linapoanzia. Wanaboresha hali ya hewa kwaajili ya manufaa yao wakopeshaji halafu kulipa tunalipa sie kwakweli kwa mwenye akili yeyote mikopo ya aina hii kwa nchi zs maghrib ni zaidi ya ujambazi.
 
Ukisikia mkopo wa kuimarisha usalama unweza kudhani ni usalama wa wannchi. Kumbe ni usalama wa viongozi tu๐Ÿ˜…
 
Tatizo hii mikopo huko inapoelekezwa ndio tatizo linapoanzia. Wanaboresha hali ya hewa kwaajili ya manufaa yao wakopeshaji halafu kulipa tunalipa sie kwakweli kwa mwenye akili yeyote mikopo ya aina hii kwa nchi zs maghrib ni zaidi ya ujambazi.
Hata mimi nimeshangaa. Mkopo wa kuimarisha kilimo au viwanda siusikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ