Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

hao jamaa wapo sahihi kbs, utawala wa tz ya sasa ni hatari sana kwa wakosoaji wote...wengine wapo mahabusu, kuna waliopotea, vilema nk
 
Its known there is violations of human rights detained before trial tigo magoti and his fellow bavicha leaders Twaya mwaipaya and others their bail has been banned while the offence its bailable and so many people have been detained
 
Ndugu yangu, kiwango cha uelewa wako kinatia SHAKA.
🤣 🤣 🤣 🤣 kaka sio lazima uelewe kila kitu. Soma katikati ya mistari, utaelewa namaanisha nn? Don't take everything seriously. Hujawahi kosuma kitu kinaitwa TASHTITI? NARUDIA, soma tena katikati ya mistari.
 
Ni kweli kabisa ila jiwe akisikia hili mabeberu yana ajenda siri😆😆nimejarib kuwaza kwa macho tu
 
Waache kutusumbua hizo haki za binadamu ni bora waanze kwanza kuzitafuta U.S
 
huu muandiko wa ufipa.kabisa hao UN wamekopi na kupesti tuu
Hujakosea hakuna mtuUN anaandika uninga huo,
Waendelee kuwaandikia kisha wanatumia wafanyakazi wa UN ambao hawana maadili kupost taarifa zao.
Ila tutawkomesha tu.
 
Ndio shida ya kuokotwa jalalani udsm,huyu ni prof mjinga kama lipumba tu mtu unatetea mauaji...yeye ndio alisema azwory kafa tena mbele ya dunia,bado waliopotea kama ben sanane,maiti za viroba etc
 

Mkuu umeniwahi nilichotaka kusema. Kwa bahati mbaya Kabudi anadhani UN hawajui kinachoendelea hapa nchini. Sasa hivi kila mtu katishwa kuanzia vyombo vya habari, wapinzani, wafanyabiashara nk. Hivyo watu kukosa uhuru wa kuongea na kuweka madhila yao hadharani, ndio anataka kuonyesha kuwa watu wameridhika.
 
Hahaha wale UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA wakikurupushwa huko na Bashiru utasikia, Mitano tena!.

Kabudi anasema hali ya leo ni tofauti, kwani yaliyoandikwa ni matukio ya leo?!

Tito Magoti wamemnyima dhamana kumkomoa, vijana wa chadema wamenyimwa dhamana kukomolewa.

Badala aelewe naye anakuwa kama uvcc.
 
Kwani hata hao UN walikuwa wanatarajia wavunja haki za binadamu kupinga
 
Anyone against this report must have her/his urine tested. The report contains the truth on the ground, definitely kabudi is turning senile.
 

Wako watu wanawatetea tayari, kama ingekuwa haki za binadamu hazivunjwi, wasingekuwa ndani hivi leo. Naunga mkono hiyo report ya UN kwabu ina ukweli wa 100%.
 
Tume ya UN ya haki za binadamu ni utopolo mtupu.Ripoti zao hata USA,CHINA,SAUDI ARABIA,ISRAEL,RWANDA,BURUNDI,wanazitupaga jalalani.
 
Akina Magamba na jiwe watawajibika kwa yote yaliyotokea nchini wakati wakiwa madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…