bajeti ya tz kwa mwaka ni $7bn kwa miaka 15 ni 7 x 15 equal to $105bn. hamna mtu mwenye hii hela kwa hiyo kama wewe uliwaamini watakuwa walikuona wewe ni mpu....vu. Na kama umetunga ili kufurahisha baraza................OMGKwanza nilionyesha mshangao fulani, kwa kuwa tangu nianze kufanya biashara sijawahi kuulizwa biashara kama hii,. Nikawauliza watanunuaje? wakasema wao wana uwezo wa kuilipa serikali pesa za kutosha kuendesha bajeti ya Tanzania kwa 100% kwa kipindi cha miaka 15.Na wao wataichukua hiyo mikoa na kuimiliki kwa miaka 100
bajeti ya tz kwa mwaka ni $7bn kwa miaka 15 ni 7 x 15 equal to $105bn. hamna mtu mwenye hii hela kwa hiyo kama wewe uliwaamini watakuwa walikuona wewe ni mpu....vu. Na kama umetunga ili kufurahisha baraza................OMG
I think that info is wrong and misleading. Mikoa yenye utajiri wa maana kwa sasa ni ile yenye prospect ya mafuta na gesi,na pengine Uranium.Kama tumeshindwa kusimamia uwekezaji kwenye madini. Je,kwenye mikoa mitatu yenye rasilimali nusu ya nchi nzima ndio tutaweza?
bajeti ya tz kwa mwaka ni $7bn kwa miaka 15 ni 7 x 15 equal to $105bn. hamna mtu mwenye hii hela kwa hiyo kama wewe uliwaamini watakuwa walikuona wewe ni mpu....vu. Na kama umetunga ili kufurahisha baraza................OMG
Hii hoja ni ya msingi na ina mengi ya kuchambua,kujiuliza n kutafakari. Machache n kama ifuatavyo: 1. Mtoa hoja lazma anatoka ktk mikoa hyo n perspection yake n kuwa KIATA is a selective region ambao anaamn kuwa ina watu wenye hadhi,uelewa,elimu,mwamko mkubwa sana so maeneo mengine yanachangia kudumaa kwao! 2. Yule chief mangungo na Karl Peters walianza na kasehemu kidogo tu lkn hatimaye Tanganyika yte ikawa koloni la Germany! 3. Mtohoja amejenga taswira kwamba raslimali zlizopo KIATA pekee zina uwezo wa kuchange livelihood ya jamii y watz,vp raslmali za nchi nzima zikashindwa kuchange maisha y watz? Challenge to tz' leader! 4. Anatoa taswira kwmba wakti umefika kwa tz kuongozwa ki-zones! 5. Viongozi wa tz n after-maslah kiasi kwamba wanaweza kuuza hta watu wao ili kukamilsha wishes zao! 6. Serikali haina uwezo wa kusmamia raslmali zake kwa maslah ya watu wake kiasi kwmba mtoa hoja anawaonea huruma sn wtz hata anatamani viongozi wawe "wazungu" ili wasmamie raslmali zilizopo kwa uadilifu ili watu wawe na gd life! 7. Tanzania iko ktk 'excited state' kiasi ambacho kila mtz ana view yake y namna y kuitoa ktk hali hyo! Dah!yako mengi bt now I bcam tired! Viva mtoa hoja-wapeni bana hyo KIATA ila angalieni wastamani morogoro then mkaja kosa maji+umeme japo kwa huo mgawo!Kama kawaida yangu, mimi ni mjasiriamali, na biashara yangu ni kuuza chocho au kusaidia kuuza chochote ili mradi mnunuzi na mnunuaji wanaridhika na maslahi ya hiyo biashara.
Katika pilika zangu za weekend, nilikutana na mabwana fulani ktk mgahawa mmoja maarufu hapa New zealand. Ktk mazungumzo yetu wao walijitambulisha kwangu, wao ni mawakala wa Tajiri mmoja anaeitwa LORD CARRINGTON na shughuli zao kubwa ni kununua raslimali popote zilipo duniani.
Niliwaambia mimi natoka Tanzania, wakasema wanaijua vizuri sana na kila kitu kilichopo na tena wakanifahamisha kuwa siyo Tanzania tu, wanaijua Africa yote na vilivyomo. Mimi nikawauliza, Je kwa Tanzanian wao wanataka kununu nini?. Wao wakaniambia, Kama itawezekana wangependa kuuziwa mikoa mitatu ya Tanzania bara, TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA.
Kwanza nilionyesha mshangao fulani, kwa kuwa tangu nianze kufanya biashara sijawahi kuulizwa biashara kama hii,. Nikawauliza watanunuaje? wakasema wao wana uwezo wa kuilipa serikali pesa za kutosha kuendesha bajeti ya Tanzania kwa 100% kwa kipindi cha miaka 15.Na wao wataichukua hiyo mikoa na kuimiliki kwa miaka 100
Mimi kwangu niliona ni biashara nzuri, lakini wasi wasi wangu ikawa ni kujua kama watanunua je ina maana raia wanaoishi ktk mikoa hiyo watafukuzwa au itakuwa namna gani?
Wao wakanijibu, kila raia atabaki kuwa ni mmiliki wa mali zake kwa 100% Ila wao watakachofanya ni kuunda serikali yao mpya ktk mikoa hiyo,na kuwekeza ktk mikoa hiyo na kuwasaidia mitaji ya kuwekeza raia wanaoishi ktk mikoa hiyo ili waweze kukusanya vizuri mapato yao.
La mwisho waliloniambia ni kuhusu sheria za uhamiaji, Kwamba ni lazima kwa mtu au taifa lolote watalazimika kuwa na VIZA za kuingi ktk mikoa hiyo, na pia baada ya miaka 100 watairudisha mikoa hiyo mikononi mwa serikali ya Tanzania
Mimi kabla ya kuwajibu ikabidi niwaombe muda kidogo ili niwasiliane na wadau na tujadili kama kuna faida au hasara halafu mtaliwakilisha kwa JK na serikali yake nao waone kama linafaa. LAKINI KWA UPANDE WANGU NIMEKUBALIANA NAO KWA 100% MAANA KWA KIPINDI CHA MIAKA 15 HATUTAKUWA TENA OMBA OMBA KWA WAZUNGU, NA ISITOSHE KUMBE NI KAMA WANAKODI TU HIYO MIKOA NA SIYO KUINUNUA KABISA.
MWISHO NAOMBA WANA JF TULIJADILI HILI KIBIASHARA ZAIDI NA SIYO KISIASA
Kuhusu kigamboni nibora tukawa na ushahidi dhahiri badala ya kuendeleza porojo zinazopigwa kila siku mitaani. Kuhusu hili la KIATA itakuwa safi sana hawa matajiri wakija kukodisha na kusimamia uendeshaji mzima wa KIATA kwa mkataba wa win win situation mtawala na mtawaliwa wanufaike. Kodi watakayochukua serikali kutoka kwa hawa matajiri ktk huo mkataba wa ukodishaji inatosha kuleta maendeleo makubwa kwa maeneo mengine ya tanzania wakati huo huo maeneo ya KIATA yakiwa na maendeleo maradufu zaidi ya maeneo mengine tanzania. Isitoshe kuna wabunge wengi wa chadema arusha na kilima kyaro kwahiyo watasimamia ipasavyo utekelezaji wa mkataba
Haya ni matusi,
hawa wazungu wamekutukana na wewe ukalimbua macho, kama kawaida yetu watu weusi kushangaashangaa wazungu, ulitakiwa uwachallenge kwa njia nyingi badala ya kushangaashangaa
Kama kawaida yangu, mimi ni mjasiriamali, na biashara yangu ni kuuza chocho au kusaidia kuuza chochote ili mradi mnunuzi na mnunuaji wanaridhika na maslahi ya hiyo biashara.
Katika pilika zangu za weekend, nilikutana na mabwana fulani ktk mgahawa mmoja maarufu hapa New zealand. Ktk mazungumzo yetu wao walijitambulisha kwangu, wao ni mawakala wa Tajiri mmoja anaeitwa LORD CARRINGTON na shughuli zao kubwa ni kununua raslimali popote zilipo duniani.
Niliwaambia mimi natoka Tanzania, wakasema wanaijua vizuri sana na kila kitu kilichopo na tena wakanifahamisha kuwa siyo Tanzania tu, wanaijua Africa yote na vilivyomo. Mimi nikawauliza, Je kwa Tanzanian wao wanataka kununu nini?. Wao wakaniambia, Kama itawezekana wangependa kuuziwa mikoa mitatu ya Tanzania bara, TANGA, KILIMANJARO NA ARUSHA.
Kwanza nilionyesha mshangao fulani, kwa kuwa tangu nianze kufanya biashara sijawahi kuulizwa biashara kama hii,. Nikawauliza watanunuaje? wakasema wao wana uwezo wa kuilipa serikali pesa za kutosha kuendesha bajeti ya Tanzania kwa 100% kwa kipindi cha miaka 15.Na wao wataichukua hiyo mikoa na kuimiliki kwa miaka 100
Mimi kwangu niliona ni biashara nzuri, lakini wasi wasi wangu ikawa ni kujua kama watanunua je ina maana raia wanaoishi ktk mikoa hiyo watafukuzwa au itakuwa namna gani?
Wao wakanijibu, kila raia atabaki kuwa ni mmiliki wa mali zake kwa 100% Ila wao watakachofanya ni kuunda serikali yao mpya ktk mikoa hiyo,na kuwekeza ktk mikoa hiyo na kuwasaidia mitaji ya kuwekeza raia wanaoishi ktk mikoa hiyo ili waweze kukusanya vizuri mapato yao.
La mwisho waliloniambia ni kuhusu sheria za uhamiaji, Kwamba ni lazima kwa mtu au taifa lolote watalazimika kuwa na VIZA za kuingi ktk mikoa hiyo, na pia baada ya miaka 100 watairudisha mikoa hiyo mikononi mwa serikali ya Tanzania
Mimi kabla ya kuwajibu ikabidi niwaombe muda kidogo ili niwasiliane na wadau na tujadili kama kuna faida au hasara halafu mtaliwakilisha kwa JK na serikali yake nao waone kama linafaa. LAKINI KWA UPANDE WANGU NIMEKUBALIANA NAO KWA 100% MAANA KWA KIPINDI CHA MIAKA 15 HATUTAKUWA TENA OMBA OMBA KWA WAZUNGU, NA ISITOSHE KUMBE NI KAMA WANAKODI TU HIYO MIKOA NA SIYO KUINUNUA KABISA.
MWISHO NAOMBA WANA JF TULIJADILI HILI KIBIASHARA ZAIDI NA SIYO KISIASA
Hii hoja ya Major sio ya kufikilika bali he is sending a message ambayo watu wanaweza kufikiria!! Kama wafanyabiashara wanaweza kuendesha bajeti ya nchi kwa muda wote huo kwa kumiliki mikoa mitatu tu ; je nyie serikali ya wachakachuaji mbona mnashindwa kuendesha nchi na kuwa ombaomba kila leo huku mna rasilimali ya mikoa ishirini na moja? Hiyo ndio changamoto ya hoja ya Major!
Ok, kama mitizamo yetu wote ni kama wa kwako, Basi tutachelewa sana, Mimi nafikiri ungejaribu kufikiri na kichwa japo kidogo kabla ya kuchangia hoja, sasa ninakuuliza swali, je kwa sasa Tanzania inanufaika vipi na mikoa hiyo? je pato la mikoa hiyo ktk serikali ni % ngapi?.
Tuko na resource nying kwenye hiyo miko,pamoja na utaalam mdogo wa technologia, tutaweza kufaidika zaidi in long run chini ya utawala wetu wenyewe waafrika
Je? kama kweli anakuja mwekezaji ambaye anataka kutulipa pesa ya kuendesha serikali pamoja na miradi yake ya maendeleo kwa miaka 15. tutakuwa tumepata faida au hasara?
Haya mambo ni kama yakufikirika hivi.Lakini hata kama ingekuwa kweli. ni mafisadi tu, tena wale wa kutisha, wanaoweza hata kufikiri tu jambo la kipuuzi namna hiyo!This to me is out of discussion and unthinkable.