Tanzania yapata ofa ya kuuza mikoa mitatu.tanga, kilimanjaro na arusha

Ili mimi naliona kama tusi au dharau, hakuna mtu anaweza uza utu wake kwa sababu ya maendeleo, tutakuwa tunajitawala au tunatawaliwa? hili ndilo alilo kataa Mugabe Zinbabwe land for zinbwabweans, na ndicho alicho kataa Nyerere.

Naamini maendeleo wa tanzania na afrika yataletwa na waafrika wenyewe, tusisahau kuwa, part ya matatizo tanzania na frika chanzo chake ni wao wazungu.

tunakesi nyingi WTO kuusiana na level play field ya biashara, lakini jamaaa wako wazungu hawataki kubadilika

Kumbuka hao wazungu are fighting to keep their interest around the world, wakikuona unaaza kuendelea wao wanapambana na wewe

Kumbuka BARICK Gold, walipo ona bunge letu limepitisha sheria za kufaidika na dhahabu zetu, walitutishia amani mpaka leo hatuwezi kupitisha mambo yetu ktokana na ubabe wao

wewe ni tope kabisa, jaribu kutumia kichwa kufikiri, Kwani kwa sasa Tanzania ni kitu gani tunachokiweza kukifanya sisi wenyewe, Mfano mdogo tu ni hiyo reli na treni mpya alizowaachia Nyerere, tena ikiwa haidaiwi na mtu yeyote, na kila siku ina abiria wa kutosha mpaka wengine wanakosa nafasi ya kusafiri, lakini leo iko wapi RELI, Kwa kawaida mfanyabishara anaweza kupata hasara kwa mambo mawili makuu. 1. bidhaa kutokununulika, au bei ya bidhaa zake kushuka thamani sokoni. Sasa hiyo reli mliiuwa kwa sababu gani kati ya hizo,"FOOLISH"
 
Hapa ni kuchagua kati ya option 2:
a) kuwa mbwa wa masaki
AU
b) kuwa mbwa wa mbagala
Major huwezi waomba tuwape kwa 25 years,wasapoti bajeti kwa 3.5 years tu testi kwanza? Hehehe!
 
What a lunacy!!! Three prime regions..... for 100 years??!!! in exchange of 15 years of budget financing!!! There is nothing crazier than that!!!
 
Mkuu umeangalia kwa upeo wa chini zaidi...nani kakuambia wawekezaji hua wanakua na hela cash baba!! Financial institution si zipo? ARUMERU HOTEL imekarabatiwa kwa sh ngapi kutoka kwenye bank za kitanzania?? ....
Sema hii mada tuachane nayo maana haijakaa vizuri

MITANZANIA ndivyo tulivyo wepesi kusahau, Hivi anajua kuwa RICHMONDULI AKA DOWANS ilinunuliwa na kudhaminiwa kwa kutumia KODI YAKE? Mkopo CRDB mdhamini BOT!
 
Hapa ni kuchagua kati ya option 2:
a) kuwa mbwa wa masaki
AU
b) kuwa mbwa wa mbagala
Major huwezi waomba tuwape kwa 25 years,wasapoti bajeti kwa 3.5 years tu testi kwanza? Hehehe!

Brother, ni kweli kabisa, tunaweza kubagen, lakini huoni kwamba kama wao kweli watatoa fungu kwa ajili ya bajeti yetu ya miaka 15 sisi ndiyo wenye faida?, ebu jaribu kufikiri kwa hufanya hesabu rahisi kabisa, ikiwa hii miji yote mitatu ilikuwa na maendeleo makubwa kabisa zama za mwalimu, na kwa kuwa hii miji kwa sasa hivi inarudi kinyumenyume kwa kasi mbaya kabisa, na hakuna mipango yoyote ya kuinusuru, si bora tuwape hao wanaojua thamani ya rasilimali? kuliko kuiacha ikafa kabisa. Mimi ktk starehe zote za duniani, namba moja kwangu ni kutembea, sasa, tatizo ambalo pia linawakabili wana JF Wengi ni uvivu wa kutembea, kama wangekuwa wanatembelea maeneo tofauti ya Tanzania, pengine wangeweza kujua nina maana gani wakati ninaposema NI BORA TUWAUZIE MAANA SISI HAITUSAIDII,sana sana tutazidi kuiua
 
Mkuu umeangalia kwa upeo wa chini zaidi...nani kakuambia wawekezaji hua wanakua na hela cash baba!! Financial institution si zipo? ARUMERU HOTEL imekarabatiwa kwa sh ngapi kutoka kwenye bank za kitanzania?? ....
Sema hii mada tuachane nayo maana haijakaa vizuri
Arumeru hotel??

Mh... i need a drink buddies maana naona sasa tunakurupuka tu
 
Tumetafuta gesi kwa miaka mingi, MWENYEZI MUNGU KATUJALIA TUMEIPATA, Cha ajabu eti hii ni siri ya serikali wala haitangazi ili watu wajue tuna nini, mimi niliposikia hiyo kitu imepatikana nilijua basi Tanzania itakuwa zaidi ya USA, Cha ajabu naona Jamaa bado anahangaika na bakuli mkononi kila siku, Inatia aibu sana,WAAMBIE JIRANI ZAKO UNA GESI NA UNAWEZA KUWAUZIA, KOPENI PESA BENK YA DUNIA, SAMBAZENI MABOMBA YA GESI KILA NCHI YA JIRANI, BAADA YA MIKA KUMI MTAKUWA NA UCHUMI MZURI KAMA CHINA AU USA, NINGEKUWA NA UWEZO WA KUWAANGAMIZA WOTE KAMA KULE HIROSHIMA NINGEFANYA HIVYO ILI WAZALIWE WATU WAPYA LABDA MAMBO YANGEBADILIKA, MNAFIKIRI SISI TUNAPENDA KUISHI HUKU SEHEMU ZINA BARIDI MWAKA MZIMA, TUNATAKA KUKAA HOME TZ LAKINI TUNA ROHO NDOGO, KWA JINSI MNAVYOPELEKA MAMABO MRAMA, PENGINE TUTAISHIA JELA KWA HASIRA,
 
Hapa nataka JF mseme kama labda tuwaambie waongeze pesa kidogo au tukubaliane nao, then we move forward
 
Mimi nafikiri mleta hoja hapa ametumia sanaa ya lugha kueleza kuwa Tanzania ni nchi tajiri mno yaani moja ya nc hi tajiri saaana duniani na hata walio nje ya nchi wanaliona hili ila viongozi wetu tu ndiyo hawalioni hilo kiasi wanaona fahari kutembeza bakuli kila uchao.Anajaribu kuelezea kuwa rasili mali zilizopo katika mikoa hii mitatu tu zikitumika ipasavyo kwa moyo wa uzalendo zinatosheleza kuindeleza nchi hii bila kuomaba omba, sasa jee rasilimali za nchi nzima zikitumika ipasavyo si Tanzania ingekuwa super power?Nakubaliana na Major kuwa Tanzania kwa upeo na uzalendo wa viongozi wetu(CCM) ni sawa na kuku anayeona kipunje cha mtama ni cha thamani kuliko kipande cha almasi.Hivi hamuoni JK anavyofurahia uswahiba wake na George Bush na kuona fahari Bush kuweka kambi Bongo kwa siku nne ilhali familia ya Bush ni wabia wakubwa wa Barick Gold inayomilki migodi mikubwa minne ya dhahabu ,BULYANHULU,BUZWAGI, PANGEA &NORTH MARA, lakini kwa migodi hii yote sisi tunapata nini? Halafu JK nafurahia msaada wa vyandarua toka kwa Bush.Ningekuwa na uwezo ningeifanya mikoa hii mitatu ijitenge na kuanzisha taifa lake halafu tuwe na rais Dr Slaa, naamini baada ya miaka 10 tutaifikia SA kwa maedeleo.
 
Back
Top Bottom