Mbona kama ni hivyo tembo na faru wanateketea? Jeshi letu je haliwezi kuzuia kutoweka kwa rasilimali ya taifa. Tusijidanganye kuwa tunaweza kuchokoza magaidi halafu waki-react tunawadhibiti kwa silaha zenye kutu zilizoonyeshwa uwanja wa taifa
KDF ni wadokozi au umesahau ile operation yao dhidi ya Alshabab walivyokwapuzi.
Mi nimecriticise credibility ya hii information lakini haimaanishi kwamba najua sana. Ukiona mtu anaanza kuongea statement kama zako ujue ana tatizo. Kwenye dunia ya intellectual thinking tunapo mchallenge mtu haimaanishi kwamba tunajua kuliko huyo mtu, it means kuna loop holes kibao kwenye statement zake zinazofanya anachokielezea kisiaminike. I have an intellectual mind na huwa siamini kila kitu nachoambiwa kwenye internet bila ya kuwepo kwa established metrics zilizotumika to come up with hypothesized facts. Hii information iliyowekwa hapa inakosa mantiki ya kujadiliwa na great thinkers sababu iko very shallow na ipo very subjective na haitoi metrics zilizotumika kuja na hii information. As a Great thinkler siwezi discuss huu upuuzi labda ingepelekwa kwenye gossip column inge make more sense.This is not evidenced based information. Na mimi analyze vitu kisomi zaidi na sio kurukia to unfounding anecdotal evidence that is being subjective. I scrutinize every little detail to deduce facts. We aren't speaking the same language Son. Based na jinsi mtu anavyoongea naweza kumfanyia profiling na kupata a little bit of an understanding kwamba akili yake ipoje. Ila sababu hujui maana ya profiling huwezi kujua nachoongea. I am not trying to disrespect you, ila next time usikurupuke kuvamia vamia tu watu before you have a clear understanding of what they are saying.umejuaje kama naamini,she think she knows alot about lots of things,(sijuhi jinsia yako lakin nina maana yangu kutumia she)
Mi nimecriticise credibility ya hii information lakini haimaanishi kwamba najua sana. Ukiona mtu anaanza kuongea statement kama zako ujue ana tatizo. Kwenye dunia ya intellectual thinking tunapo mchallenge mtu haimaanishi kwamba tunajua kuliko huyo mtu, it means kuna loop holes kibao kwenye statement zake zinazofanya anachokielezea kisiaminike. I have an intellectual mind na huwa siamini kila kitu nachoambiwa kwenye internet bila ya kuwepo kwa established metrics zilizotumika to come up with hypothesized facts. Hii information iliyowekwa hapa inakosa mantiki ya kujadiliwa na great thinkers sababu iko very shallow na ipo very subjective na haitoi metrics zilizotumika kuja na hii information. As a Great thinkler siwezi discuss huu upuuzi labda ingepelekwa kwenye gossip column inge make more sense.This is not evidenced based information. Na mimi analyze vitu kisomi zaidi na sio kurukia to unfounding anecdotal evidence that is being subjective. I scrutinize every little detail to deduce facts. We aren't speaking the same language Son. Based na jinsi mtu anavyoongea naweza kumfanyia profiling na kupata a little bit of an understanding kwamba akili yake ipoje. Ila sababu hujui maana ya profiling huwezi kujua nachoongea. I am not trying to disrespect you, ila next time usikurupuke kuvamia vamia tu watu before you have a clear understanding of what they are saying.

Nime attack na personanility ya mtu aliyeileta sababu naye ni kilaza tu kama hiyo kurugenzi ya ikulu. Wakati naanza kuchangia nilianza na credibility ya info. Na nikatoa warning kwamba huelewi ninachongeaa mtu asijibu. Ukakurupuka kama mwendawazimu thata when it got to the personal level. Narudia soma kwa makini nilichoongea kwenye post ya kwanza. Najua hum jamii forums kuna watu wanaongea pumba sana. Sasa kwa kujua upumbavu wataoongea in advance huwa naweka warning kuwua iwajinga wajinga kama hao. naKurugenzi ya habari ikulu ndio imekuwa ya kwanza kutoa taarifa,hii ni taarifa imetolewa kwa umma,si ya mtoa mada,wewe fanya ume~attack personality ya mtoa taarifa na si taarifa yenyewe
Acheni porojo. Anaeijua Jw ndio aongee. Asieijua,akojoe akalale. Jw huonyesha kwa vitendo na si maneno.
Mkuu kumbe ni wale jamaa wa Ikulu. Kama ndio hawa sitashangaa kama hizo taarifa hazina mkono wa Mfaransa kwasababu anafanya biashara fulani na baadhi ya Watawala wetu na pesa za Mgombea wa Kambi ya JK zitatoka huko!Kurugenzi ya habari ikulu ndio imekuwa ya kwanza kutoa taarifa,hii ni taarifa imetolewa kwa umma,si ya mtoa mada,wewe fanya ume~attack personality ya mtoa taarifa na si taarifa yenyewe
Westgate wanaenda na Tanks kwa watu wanne tena wanapiga swala humo ndani.
Wakaishia kutoka na vifuko vyeupe
Mwisho wa siku wanaishia kulipua jengo zima na wakawakosa. Kweli aibu ya mwaka
Special Weapons And Tactics......SWAT....hahahahaaa....haya mkuu...no comment so far.
No No!,this is totally unfair. #27 was suppose to be taken by KDF special forces baffled by alshabaab during the westgate siege. teh teh
CC. lawmaina78 Buru58 waltham hbuyosh et al.
Kuna tofauti kati ya jeshi bora na kikosi bora. Kijeshi, kwa mfano Tanzania ina artillery bora na rada bora kuliko majirani zake ambao wana ndege bora. Sababu ni location ya miji mikuu kutoka mpakani. Ni vigumu kuufikia mji wa Dar kwa artrillery wakati ni rahisi kuitwaa Nairobi au Kampala kwa artillery. Hiyo ni choice ya kimkakati.
Tukirudi kwenye mada, vikosi maalum/elite/special forces ni commandos. Unaweza kuwa nao 5000 tu kwa ajili ya shughuli maalum za kijeshi. Hawa ni wanajeshi wanaoenda kwenye special missions. Tanzania ina special forces zilizotulia na hii inajulikana sasa.
TPDF special forces huwa zinaalikwa SOFEX na huwa zinashindana na elite forces za Europe, asia na America. Huwa kunawekwa mazingira ya kimjini, porini, majini, jangwani n.k na huwa wanaitwa ku-test silaha mpya. Hili msibishe.
halafu, hayo ni maoni ya critics wa mambo ya kijeshi ambao wana interest na masuala haya. Na huchukua data kutokana na mambo mengi ikiwamo missions ambazo special forces imeshinda na missions nyingine ni siri, lakini huwa zinafanywa.
Kwa hiyo msione ajabu nchiu maskini kuwa na vikosi special am bavyo ni highly trained na wamepata fursa ya ku-prove. Inawezekana sana tu na hii haitegemei utajiri wa nchi bali ushupavu wa watu wake.