Tanzania yapaa juu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yapaa juu!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IFM, Mar 8, 2011.

 1. IFM

  IFM Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika pitapita zangu na kwa udaku wangu katika vyombo mabalimbali na kukusanya mawazo mbalimbali kutoka katika vyanzo vya ndani na nje yetu na kuweka rank, nchi yetu imepaa juu zaidi ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea katika haya:
  1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.
  2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.
  3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Upo sahihi, lakini pia kuna mengi ambayo utatambua ukiendelea na utafiti wako wa udaku
   
 3. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli.
   
 4. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  study yako ni nzuri sana mkuu, endelea. Labda nikuongeze moja ni inchi ya kwanza kuwa na waziri mkuu muongo harafu hachukuliwi hatua.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kweli wewe ni Junior,...hata akili zako ni za Kijunior...
   
 6. IFM

  IFM Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini kumbuka huwezi fika 100 bila kupitia 1.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280

  Umekuja na udaku bila kuufanyia utafiti, majibu yako haya hapa:


  1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.  Soma zaidi: Albania ammunition dump blast kills 5, injures 243 - World News - IBNLive


  soma zaidi: Ammo dump blast kills 18 of Iran's elite force - SFGate


  soma zaidi: Lagos Armoury Explosion - Wikipedia, the free encyclopedia

  2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.


  soma hapa: Los Angeles Surgical Error: Wrong Kidney Given to Patient During Transplant Surgery at USC - California Injury Lawyers Blog

  soma hapa: Tampa Hospital Starts Surgery on Wrong Patient - Health News | Current Health News | Medical News - FOXNews.com

  soma hapa: Wrong-Site, Wrong-Procedure, and Wrong-Patient Surgery

  3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.

  Uongo, Tanzania inazo Tanzanite lakini sio kuwa "Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini" kama unavyotaka ieleweke.

  Hizi ndio nchi zenye utajiri wa madini duniani< Tanzania bado hatujafikia huko kwa sasa:

  World's richest mining countries.

  South Africa, with more than $2.5 trillion in mineral reserves, is the world's richest nation by "commodity wealth", a Citigroup report shows. This is largely due to its deposits of platinum group metals (PGMs).
  Russia and Australia came in second and third. The report put Russia's iron ore reserves at $794bn, while Australia, the world's second-largest supplier of seaborne ore, has reserves valued at $737bn.
  Ukraine has $510bn of iron ore deposits.
  Guinea has $222bn of bauxite (aluminium ore) reserves.
  India and Kazakhstan also each have more than $200bn on non-energy, reserve wealth and more than 100 years of average mine life at current rates, the bank found.
  According to the data from Citigroup and the US Geological survey, there's an average reserve life of just 17 years in China's mines. The country is expected to continue investing in global metals and mining to secure supply.
  Source: Telegraph.co.uk

  Naomba mkiandika habari zingine mzifanyie kautafiti kadogo tu na msidanganye watu.
   
 8. IFM

  IFM Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe hata uchosoma hukielewi......
  nimespecify Tanzanite>>.>>>>
   
 9. elimumali

  elimumali Senior Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuendelea kuikashifu nchi na Serikali itasaidia nini? Thread kibao za kashfa tupu. Hivi mkianzisha thread za kutoa miongozo ya namnya ya kuleta maendeleo si utakuwa mchango mzuri tu. Amini wako watakaochukua mawazo yenu na kuyafanyia kazi. Maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe.
   
 10. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hata uchawi katika Africa Tanzania iko juuuuu........

  Nchi ya kwanza kwa kuwa na Raisi asiejua kama yeye ni Rais wa nchi na si Rais wa nyumba au kundi la Taarabu... no wonder hajui kwa nini Tanzania na wananchi wake ni maskini............
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Hayupo sahihi kabisa, soma post namba 7 yenye ushahidi kamili wa kusambaratisha hayo uyaungayo mkono.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  dogo anatafuta atoke vp!!! heh hehe hehe he eh
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Hapana usiseme uongo huku "specify" Tanzanite, Tanzanite umeweka kwenye bracket. ulicho specify ni hiki hapa, nimebandua na kuibandika hapa chini.:

  "3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo"
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280

  Na hata kama ulimaanisha Tanzanite ndio iifanye Tanzania kuwa nchi nya kwanza kwa utajiri, basi upo wrong vilevile, Tanzanite inachimbwa sehemu moja tu Tanzania kwa sasa na kiwango kinachotoka hakiwezi kuifanya nchi ya watu zaidi ya Million 40 kuwa Tajiri.

  Tanzania tunao utajiri wa madini, lakini kwa sasa hatujafikia kuwa wa "kwanza".
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  la kwanza labda, lakini hayo mengine sio kweli
  hizo mistakes za theater zipo nyingi sana jaribu ku google
  hiyo ya madini cheki na nchi nyingine kama sierra leone
   
 16. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kaka mteme dogo!! msamehe bure amekurupuka!!
   
 17. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Nimependa analysis yako!!
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  jamani sie wengine hatujui ki2 kwahiyo mnapoandika andikeni v2 vya uhakika ili 2faidike navyo,msitupotoshe
   
 19. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Nchi ya kwanza duniani kununulia wagonjwa wake ambulance za bajaji.
   
 20. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ni nchi ya kwanza Rais wake kutamka hadharani kuwa matatizo ya nchi hayataweza kuisha, yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo!
   
Loading...