sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
- Thread starter
- #21
sumbai ni sawa lakini hatuna hata shule au chuo au taasisi maalum ya mambo ya kichawi na kishirika wakati kuna nchi tena zenye tech kubwa mno wana vyuo na taasisi rasmi za Haya mambo
Kuna nchi ambazo kila kitu hakifanyiki bila kuwasiliana na wasoma nyota, wana namba maalum za bahati siku maalum za kufanya mambo fulani... Yani maisha yao yametawaliwa na hizi imani, na Wachina ni Kati yao
Kaka mi nadhani sio kwamba hizo taasisi za kichawi hazipo ila ni kwamba labda sio rasmi...
Sina uhakika ila nlipata kusikia kuhusu shule za kichawi mfano kanda ya ziwa chini ya ziwa victoria..(sina uhakika
Pia sasa hivi kila ukipita sehem mbali mbali kuna maelekezo ya kujifunza ili kuuingia kwenye mambo kama ya freemanson
Nadhani hazijawa taasis rasm ila zipo kaka
Last edited by a moderator: