Tanzania yaongoza katika kuamini uchawi

Tanzania yaongoza katika kuamini uchawi

Mkuu mungu na uchawi ni wapi na wapi?

Zote ni supernatural forces, the difference is directional as they say in vectors.

Ukisema unaamini mungu halafu huamini uchawi ni kama useme unakubali kuwepo namba positive halafu hukubali kuwepo namba negative.

Halafu hizi dini kama ukristo na uislamu zinakubali uchawi upo, sasa wewe kama mkristo au muislamu ukisema uchawi haupo unapingana na kitabu chako mwenyewe.
 
Hapo patam sana, kuna mahali pameandikwa uchaw upo ila pia din hiz ndio zimekataza kuamin ushirikina...
 
sumbai kuamini na kuwepo ni vitu viwili tofauti

Utafiti unasema watz wengi wanaamini uchawi...

Kwanin? Idadi ni kubwa mno ya waaminiao?...dini zinakiri uwepo wa haya mambo..ila inakataza tusiamin wala kutegemea hayo mambo....

Watz zaid ya asilimia 90 ni waumini wa din, na pia wengi wamepata elim ya darasan... my qn is why idadi ya waaminio ushirikina ni kubwa?
 
Last edited by a moderator:

Ni kwakuwa wengi wanaamini katika dini
 
Nakubali maana kuishi tz ukafikisha miaka 50 bila kurogwa ushukuru Mungu sana.
Ndio maana huwa naamini kuwa ukifika umri zaidi ya 90 tz basi wewe ni sawa na MTU aliyetupwa katikati ya msitu wenye wanyama wakali na ukatoka ukiwa hai.
 
Sio Tu Anaongoza bali anaongoza kwa mbaaali maana anaefuatia ni km asilimia 50.
Ni mimi nilitumiwa meseji unayohusu mambo ya waganga wa kyenyeji kisha nikampa mtu asome maana nilishitushwa sana kila niliemweleza juu meseji hiyo alidai kuwa aliwahi kupata meseji inayofanana na hiyo. Huwenda meseji hizo zinatoa picha juu ya aina ya jamii tuliyonayo.
 
Back
Top Bottom