TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,562
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania. Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.