Tanzania yakataa washomali kasumulu

Tanzania yakataa washomali kasumulu

Edgartz

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
241
Reaction score
23
Msako unaoendelea mchini malawi wamekamata washomalia wengi na kutaka kuwarudisha tanzania walipofika boda, tanzania imesema haiwatambui watu hao, baada ya tanzania kuwakataa malawi wamewachukua na kwenda nao kuwatupa songwe porini, wamedai wajue kwa kwenda huku malawi hatakiwi je waungwana huo ni ustaraabu?
 
Back
Top Bottom